-
Kipindupindu, mzingiro na kufungwa uwanja wa ndege wa Sana'a, silaha tatu zinazotumiwa kuua watu wa Yemen
Aug 12, 2017 21:47Hali ya kibinadamu inaripotiwa kuwa mbaya sana na ya kusikitisha, na miezi karibu 30 ya mashambulizi ya kila upande ya Saudi Arabia na washirika wake yanaonesha sura ya kutisha ya vifo vya maelfu ya watu wasio na hatia huku kile kinachoitwa jamii ya kimataifa ikiendelea kutazama kwa macho tu bila ya kuchukua hatua yoyote ya maana.
-
SAUTI, Wizara ya Usalama wa Ndani Kenya: Polisi haijatumia nguvu kuwazuia wanaoandamana kwa amani nchini
Aug 12, 2017 11:43Usalama umeimarishwa kikamilifu katika maeneo yanayoaminika kuwa ngome za upinzani nchini Kenya kwa lengo la kuzuia machafuko.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Tuhesabu nafsi zetu kabla ya kuhesabiwa
Aug 11, 2017 11:43Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amewataka waumini kuhesabu nafsi zao kabla ya kuhesabiwa Siku ya Kiyama.
-
SAUTI, Matukio ya uchaguzi mkuu nchini Kenya
Aug 08, 2017 12:38Mamilioni ya Wakenya leo wameshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, madiwani, maseneta, wabunge, magavana na wawakilishi wa wanawake.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio yaliyojiri Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kuanzia mauaji ya wanamgambo na mwito wa wapinzani
Aug 08, 2017 12:32Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitisha mgomo wa nchi nzima dhidi ya serikali ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.
-
Uchaguzi mkuu wa Kenya wafanyika katika hali ya msisimko wa kipekee
Aug 08, 2017 11:59Mamilioni ya Wakenya leo wameshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, madiwani, maseneta, wabunge, magavana na wawakilishi wa wanawake.
-
Wapinzani nchini Kongo DR waitisha mgomo wa nchi nzima dhidi ya serikali
Aug 08, 2017 10:19Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitisha mgomo wa nchi nzima dhidi ya serikali ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.
-
Kutekelezwa vikwazo mpya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Aug 06, 2017 23:14Umoja wa Ulaya umeanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Russia kuhusiana na mzozo wa peninsula ya Crimea.
-
SAUTI, Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran yatunukiwa tuzo ya kulinda lugha ya Kiswahili na chama cha Lugha na Fasihi Tanzania
Aug 05, 2017 12:55Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili nchini Tanzania CHALUFAKITA imeitunuku Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zawadi maalumu ya shahada ya kutunza lugha ya Kiswahili.
-
SAUTI, Wageni waishio Rwanda waisifu nchi hiyo kwa kuwa na usalama wa hali ya juu licha ya nchi hiyo kuwa katika uchaguzi wa rais
Aug 03, 2017 12:06Raia wa kigeni wanaoishi nchini Rwanda wamesema kuwa hawana wasiwasi wa usalama nchini humu huku zikiwa zimesalia saa chache kabla ya kuanza shughuli ya upigaji kura wa uchaguzi wa rais.