Uonevu dhidi ya waandishi wa habari
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i36135-uonevu_dhidi_ya_waandishi_wa_habari
Baraza la habari Tanzania limepanga kuwapeleka mahakamani wale wanaotishia na kufanya uhalifu kwa wanahabari kwani ni jambo ambalo linaleta hofu kwao na kupelekea washindwe kufanya kazi kwa ufanisi Mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka Dar es Salaam Tanzania anataarifa zaidi.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Nov 03, 2017 05:44 UTC