-
SAUTI, Wasomi wawakosoa vikali viongozi wa Kiafrika kwa hatua yao ya kukiuka misingi ya demokrasia
May 25, 2018 10:57Wakati Afrika ikiadhimisha siku ya 'Ukombozi wa Bara la Afrika' watafiti na wasomi mbalimbali wamekosoa utumiaji mabavu wa watawala wa nchi za bara hilo dhidi ya wananchi wanaowakosoa kutokana na uongozi wao mbovu serikalini.
-
VIDEO: Zitto Kabwe aiunga mkono Iran, Qatar na Palestina; aitaka Tanzania kuzitetea kwa nguvu zote
May 23, 2018 10:28Zitto Zuberi Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania ameitaka nchi hiyo kukemea hatua ya Marekani ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kwa jina la JCPOA licha ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuthibitisha mara 11 kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano hayo.
-
Wagonjwa watatu wa Ebola watoroka karantini nchini Kongo + Sauti
May 23, 2018 10:05Wagonjwa watatu walioambukizwa ugonjwa hatari wa Ebola wametoroka eneo la karantini walimokuwa katika hospitali moja huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mji wa Mbandaka huku madakatari wakiwa mbioni kuzuia ugonjwa huo hatari kuenea.
-
EAC: Utashi wa serikali kwenye miradi unatia matumaini ya kupatikana maendeleo endelevu (RIPOTI)
May 19, 2018 23:58Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki amesema utashi wa serikali za mataifa yanayounda jumuiya hiyo unaweka matumaini ya kupata maendeleo endelevu kwenye nchi hizo zinazounda jumuiya ya mataifa sita ya Afrika mashariki.
-
SAUTI, Shirika la Afya WHO: Walaji wa nyama za porini kama sokwe nk waache tabia hiyo ili waepukane na Ebola
May 19, 2018 12:32Huku Shirika la Afya Duniani (WHO) limkitangaza kuwa, mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo haujafika kiwango cha kutangazwa hali ya hatari, limeitaka serikali ya Uganda kuchukua hatua za kiafya kwa ajili ya kujikinga na janga hilo.
-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na sisitizo la kuwajibika ulimwengu katika kuunga mkono haki za wananchi wa Palestina + Picha
May 19, 2018 06:47Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote imekuwa ikiwatetea na kuwaunga mkono raia wanaodhulimiwa na moja ya malengo muhimu ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kukombolewa Quds Tukufu na Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ukombozi usioepukika wa Palestina, kushindwa kusikokwepeka kwa Marekani + Picha
May 18, 2018 13:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Baytul Muqaddas ndio mji mkuu wa Palestina na kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu Palestina itakombolewa tu kutoka katika makucha ya maadui na kwamba Marekani na vitimbakwiri vyake hawawezi kufanya upuuzi wowote mbele ya uhakika na sunna hiyo ya Mwenyezi Mungu.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
May 18, 2018 13:47Kama kamawaida, wiki hii pia iliyosadifiana na kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani imesheheni matukio ya kila namna ya Kiislamu duniani ukiwemo ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Harith Subeit na baadhi ya matukio hayo...
-
Waislamu Uganda watakiwa kutumia vyema nyakati za Ramadhani + Sauti
May 18, 2018 13:44Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wamehimizwa kujiweka mbali na mambo yanayomkasirisha Mwenyezi Mungu na kutumia vizuri nyakati muhimu za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo.
-
HRW: Watu 15 waliuawa wakati wa kampeni za kura ya maoni Burundi; matokeo ya awali yatangazwa + Sauti
May 18, 2018 09:33Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwa akali watu 15 waliuawa wakati wa kampeni za kura ya maoni ya kuifanyia marekebisho katiba huko nchini Burundi.