-
Dosari zagubika kura ya maoni ya marekebisho ya Katiba Burundi (SAUTI)
May 17, 2018 10:24Wananchi wa Burundi waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wameshiriki katika kura ya maoni ya marekebisho ya Katiba ambayo kama itapasishwa itamfungulia njia Rais Pierre Nkurunziza kuiongoza nchi hiyo hadi 2034.
-
Simu za rununu zasababisha kukua uchumi wa Afrika (SAUTI)
May 17, 2018 09:39Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa IMF..
-
Waislamu Zanzibar kuungana na Waislamu wengine kesho Alkhamisi katika saumu ya Ramadhani + Sauti
May 16, 2018 14:02Waislamu visiwani Zanzibar kesho Alkhamisi tarehe 17 Mei 2018 wataungana na Waislamu wengine duniani kuanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka huu wa 1439 Hijria. Harith Subeit ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
Waislamu nchini Uganda watakiwa kukithirisha ibada mwezi wa Ramadhani (SAUTI)
May 16, 2018 03:28Mwito umetolewa kwa waumini wa Kiislamu nchini Uganda kujipinda na kukithirisha ibada katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
SAUTI, Miili ya watu 26 waliouawa hivi karibuni Burundi imezikwa, huku Bujumbura ikituma ujumbe kwa DRC
May 15, 2018 12:10Hatimaye miili ya watu 26 waliouawa hivi karibuni nchini Burundi na kundi la watu wasiojulikana kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezikwa leo, katika mazishi yaliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi hiyo.
-
SAUTI, Hatua ya Rais Kabila ya kuwateua majaji wapya, yanyoshewa kidole cha lawama na wapinzani
May 15, 2018 12:07Mwenendo wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wa kuwateua viongozi wa serikali umeendelea kukosolewa na asasi mbalimbali za nchi hiyo.
-
SAUTI, Kampeni ya uchaguzi wa kura ya maoni nchini Burundi imefungasha virago jioni ya leo katika anga ya mchuano mkali
May 14, 2018 12:34Kampeni ya wiki mbili ya uchaguzi wa kura ya maoni nchini Burundi imekamilisha shughuli zake jioni ya (leo) Jumatatu ambapo vyama vya kisiasa vilipata wasaa wa kuwafikishia maoni yao wananchi.
-
SAUTI, Jeshi la Burundi lasema, watu waliotekeleza shambulizi jana na kuua watu 26 wasifurahie kwani watapatikana
May 12, 2018 12:18Watu 26 wameuawa nchini Burundi na wengine saba kujeruhiwa kufuatia shambulio la watu wasiojulikana kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
SAUTI, Kanisa Katoliki Kongo Brazaville laitaka serikali isitumie nguvu dhidi ya wapinza, nayo serikali yalionya
May 12, 2018 12:17Kanisa Katoliki nchini Kongo Brazaville, limeitaka serikali ya nchi hiyo kuacha kutumia nguvu na mabavu kwa kuwafunga wapinzani. Hata hivyo serikali imelikosoa vikali kanisa hilo na kulitaja kuwa lililogeuza shughuli zake za kidini na kuwa za siasa.
-
'Bara la Afrika litapata maendeleo ya haraka kwa teknolojia' + SAUTI
May 09, 2018 05:26Viongozi wa serikali, wadau na wataalamu wa sekta ya teknolojia ya mawasiliano wanasema kwamba teknolojia ikitumiwa vizuri barani Afrika inaweza kuwa chachu ya maendeleo ya haraka ya bara hilo. Kauli hiyo imetolewa mjini Kigali Rwanda unakoendelea mkutano mkubwa wa wadau wa teknolojia. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi.