-
SAUTI, Mbunge Saidi Bungara wa Kilwa Kusini: Serikali ya Tanzania inatunyanyasa Waislamu tumekosa nini?
May 06, 2018 12:32Mbunge wa Kilwa Kusini, wa chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, Selemani Saidi Ally Bungara amehoji kwamba ni kosa gani wamelifanya Waislamu ndani ya nchi hiyo hadi waendelee kukandamizwa kila uchao nchini mwao?
-
Sanaa za mikono, Bandar Abbas, Iran + Video
May 05, 2018 07:43Iran ni nchi yenye utamaduni mkongwe sana. Ni ya watu wa makabila, kaumu, rangi, sura, ustaarabu, tamaduni na mavazi ya kila namna.
-
Kamati yaundwa CAR kuchunguza mauaji ya Kanisani + Sauti
May 05, 2018 06:09Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ameunda kamati ya kuchunguza mauaji ya siku ya Jumanne katika Kanisa la Fatima huko Bangui, mji mkuu wa nchi hiiyo. Mwandishi wetu Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
-
Ujumbe Muhimu wa Zarif kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran + VIDEO
May 04, 2018 12:03Katika Ujumbe wake wa video hapo jana Alkhamisi, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema kuwa kuna chaguo moja tu la kufanikisha makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia, nalo ni Marekani kutekeleza ahadi zake zote kuhusiana na makubaliano hayo.
-
SAUTI, Chama tawala cha CNDD-FDD nchini Burundi, chafungua pazia la kampeni ya uchaguzi wa kura ya maoni
May 03, 2018 11:46Kampeni ya kutetea kura ya 'ndio' ama 'hapana' kwa ajili ya kura ya maoni nchini Burundi na ambayo itaruhusu marekebisho ya katiba nchini humo, tayari imefunguliwa rasmi.
-
Rais Kenyatta awaomba radhi Wakenya (SAUTI)
May 02, 2018 14:05Alihutubia taifa kupitia Bunge la nchi hiyo ya Afrika Mashariki...
-
Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la leo la kigaidi la nchini Libya + Video
May 02, 2018 11:10Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL kimelaani shambulizi la kigaidi lililotokea leo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Tripoli na kupelekea watu 14 kuuawa.
-
Shambulizi dhidi ya makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Libya laua 14 + Video
May 02, 2018 10:28Kwa akali watu 14 wameuawa baada ya kundi la kigaidi kushambulia kwa mabomu na risasi makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini Libya leo Jumatano.
-
Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video
May 01, 2018 13:02Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Iran yalimalizika Jumatano 15 Aprili hii huku kukitolewa wito wa Umoja na kushikamana na Qur'ani Tukufu.
-
Msaidizi wa Rais Nkurunziza wa Burundi afungwa jela kwa kutoa maneno ya chuki + Sauti
May 01, 2018 02:29Melchiade Nzophabarushe mmoja wa vigogo wa utawala wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametiwa mbaroni na kufungwa jela mjini Bujumbura kwa kutoa maneno ya chuki na ya uchochezi. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi...