-
Polisi Uganda wakamata kundi la kigaidi + Sauti
May 01, 2018 01:54Polisi nchini Uganda limenasa kundi jingine la kigaidi linalojihusisha kutoa mafunzo kwa watoto wadogo. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kutoka Kampala
-
Mzozo baina wazawa na Wachina na watu wenye asili ya Asia wazuka upya nchini Uganda + Sauti
Apr 29, 2018 12:41Mzozo wa kibiashara umezuka upya nchini Uganda ambapo wafanyabiashara wenyeji wanawalalamikia wafanyabiashara kutoka China na India wanaoendesha biashara ndogondogo nchini humo. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo....
-
Rais Rouhani: Njama kubwa za maadui ni kulikatisha tamaa taifa la Iran + Video
Apr 29, 2018 11:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama kubwa zinazoendeshwa na maadui wa taifa hili hivi sasa ni kujaribu kuwavunja moyo na kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran.
-
Saudia yawashambulia Wayemen wakati maelfu wakimzika kiongozi wao + Video
Apr 28, 2018 11:48Makumi ya maelfu ya wananchi wa Yemen, leo wamemiminika katika mitaa ya mji mkuu Sana'a kushiriki katika maziko ya kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya wananchi ya Answarullah aliyeuliwa shahidi na ndege za kivita za utawala vamizi wa Saudi Arabia.
-
SAUTI, Ripoti ya Kiislamu, Waislamu Uganda wamtaka Rais Museven kuzingatia uwiano katika nafasi za uongozi
Apr 27, 2018 12:13Waislamu nchini Uganda wamemkumbusha Rais Museven kuangalia uwiano katika uteuzi wa nafasi za uongozi kati ya Waislamu na Wakristo.
-
Waislamu wenye uwezo wahimizwa kuwasaidia wenzao wasiojiweza hasa wakati wa Ramadhani + Sauti
Apr 26, 2018 12:48Serikali na Waislamu wenye vipato vya juu nchini Kenya wametakiwa kuwasaidia waumini wa dini hiyo tukufu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, kama njia ya kuwawezesha kutekeleza ibada ya swaum pasi matatizo. Wito huo umetolewa na viongozi wa kidini huku serikali ikiwa tayari imeondoa ushuru unaotozwa tende zinazo agizwa kutoka ng'ambo kipindi hiki cha matayarisho ya mwezi huo wa neema. Mwandishi wetu Mombasa, Seifullah Murtadha ametutumia ripoti ifuayato.....
-
MINUSCA yafanya uchunguzi kubaini chanzo cha mauaji CAR + Sauti
Apr 26, 2018 12:45Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya kati MINUSCA kimeanzisha uchunguzi katika kata ya Km 5 jijini Bangui ili kujua nini kilifanyika hadi pakatokea mauaji makubwa wakati wa operesheni za kumshika Jenerali Force wa Sungusungu wa kata hiyo. Kikosi hicho cha Umoja wa Mataifa kilishirikiana na jeshi la taifa katika operesheni hiyo majuma mawili yaliyopita. Mwandishi wetu Mossi Mwassi ana maelezo zaidi...
-
Mahojiano na Mshiriki wa Burundi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
Apr 25, 2018 14:23Mahojiano na Mshiriki wa Burundi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
-
SAUTI, Hatimaye serikali ya Kongo DR yakiruhusu chama kikuu cha upinzani kufanya mkutano
Apr 25, 2018 12:45Baada ya marufuku ya muda mrefu ya marufuku ya mikutano ya vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hatimaye serikali ya nchi hiyo, imeruhusu chama kikuu cha upinzani UDPS, kufanya mkutano mkubwa jijini Kinshasa.
-
SAUTI, Ulaji nyama ambazo hazijaiva vizuri, ni hatari mno kwa afya ya mlaji yasema (WHO)
Apr 25, 2018 12:28Ripoti ya Shirika la Afya Duniani WHO, imesema kuwa, ulaji wa nyama choma ambazo hazijaiva vizuri, ni hatari kwa afya ya mlaji.