MINUSCA yafanya uchunguzi kubaini chanzo cha mauaji CAR + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i43684-minusca_yafanya_uchunguzi_kubaini_chanzo_cha_mauaji_car_sauti
Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya kati MINUSCA kimeanzisha uchunguzi katika kata ya Km 5 jijini Bangui ili kujua nini kilifanyika hadi pakatokea mauaji makubwa wakati wa operesheni za kumshika Jenerali Force wa Sungusungu wa kata hiyo. Kikosi hicho cha Umoja wa Mataifa kilishirikiana na jeshi la taifa katika operesheni hiyo majuma mawili yaliyopita. Mwandishi wetu Mossi Mwassi ana maelezo zaidi...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Apr 26, 2018 12:45 UTC