-
Wadau wa elimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana kujadili changamoto zilizopo + Sauti
Apr 24, 2018 06:32Wadau wa elimu kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesema kwamba tatizo la utofauti wa mitaala na tabia ya wanafunzi kunakiliana kazi wakati wa kuandaa risala zao mwisho wa masomo, ni changamoto kubwa kwenye mfumo mzima wa elimu kwenye nchi hizo. Hii ni kwa kuwa suala hilo limewafanya wanafunzi wengi kukosa utaalamu wa kufaa kuajiriwa kutokana na kutegemea nguvu ya wengine kimasomo. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu wa Kigali Sylvanus Karemera.
-
SAUTI, Matukio ya Kiislamu, Waislamu Kenya wakemea ongezeko la vitendo vya ushoga na usagaji kati ya wanafunzi
Apr 20, 2018 11:48Waislamu visiwani Zanzibar wametakiwa kuienzi misikiti sambamba na kuifanyia usafi kila wakati. Kadhalika Waislamu wametakiwa kuzitumia nyumba hizo za Mwenyezi Mungu katika kukemea vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wanawake na ulawiti.
-
SAUTI, Serikali ya Zanzibar yafurahishwa na ziara ya ujumbe wa bunge la Iran, mahusiano pande mbili yanaimarika
Apr 19, 2018 12:33Serikali ya Zanzibar imeonyesha kufurahishwa kwake na ziara ya ujumbe wa bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran visiwani humo.
-
Maafa ya mvua za Masika visiwani Zanzibar + Sauti
Apr 18, 2018 13:36Zaidi ya watu elfu kumi wamekosa makazi visiwani Zanzibar kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha huku nyumba 16 zikipata athari za kuvunjika kuta na kusababisha baadhi watu kuhama makazi yao. Mwandishi wetu Harith Subeit ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
-
Serikali ya Uganda yatakiwa kuheshimu haki za binadamu + Sauti
Apr 18, 2018 13:32Tume ya haki za binadamu nchini Uganda imeshauri vyombo vyote vya serikali kuheshimu haki za washukiwa kwa vyovyote vile. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
SAUTI, Mafuriko yaendelea kuyakumba maeneo yote ya Afrika Mashariki, Rwanda yapoteza watu 42
Apr 17, 2018 12:04Serikali ya Rwanda imethibitisha vifo vya watu 41 waliofariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini humo.
-
Qassemi: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni kinyume na sheria za kimataifa
Apr 16, 2018 09:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa na Marekani na waitifaki wake dhidi ya Syria ni kinyume cha sheria na makubaliano yote ya kimataifa.
-
DRC yataka ipewe fedha zilizokusanywa Uswisi + Sauti
Apr 16, 2018 05:32Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetaka ipewe fedha zilizokusanywa na wafadhili Ijumaa Uswisi ingawa ilisusia kikao hicho. Mossi Mwasi ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
Waislamu Uganda watakiwa kushikamana na dini yao + Sauti
Apr 15, 2018 02:04Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wametakiwa kushikamana na dini yao kama njia ya kuokoka duniani na Akhera.
-
Serikali ya CAR yakata njia zote za mawasiliano ya simu + Sauti
Apr 15, 2018 01:58Mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui umeingia katika giza totoro kufuatia serikali kukata njia zote za mawasiliano kutokana na hali mbaya ya usalama. Mwandishi wetu Mosi Mwasi ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...