-
Zitto Kabwe: Watu wa Kigoma hawashindwi vita, hawatokubali kuonekana sio raia wa Tanzania (sauti)
Apr 13, 2018 03:07Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amelaani vitendo vya kupotezwa watu vinavyoendelea kujiri nchini Tanzania kikiwemo kitendo cha kupotezwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoani humo, Simon Kangue.
-
Mkuu wa UNHCR amaliza ziara yake nchini Burundi + Sauti
Apr 13, 2018 02:16Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini Burundi ambapo amejadiliana na Rais Pierre Nkurunziza suala la kurejeshwa wakimbizi wa Burundi waliokimbila nchi jirani. Mwandishi wetu Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu ziara hiyo ya Filippo Grandi nchini Burundi
-
Watu 257 wapoteza maisha katika ajali ya ndege nchini Algeria + Video
Apr 11, 2018 09:18Televisheni ya serikali ya Algeria imetangaza kuwa, watu wasiopungua 257 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika uwanja wa ndege wa Boufarik, nje ya mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers.
-
UN yaunga mkono juhudi za kudumisha utulivu Jamhuri ya Afrika ya Kati + Sauti
Apr 11, 2018 09:15Umoja wa Mataifa umesema kuwa unaunga mkono juhudi za kuleta utulivu na amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
SAUTI, Makamu wa Rais Zanzibar: Serikati ya Tanzania imepania kuboresha sekta ya usafirishaji wa anga nchini
Apr 09, 2018 13:31Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd amesema kuwa, serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea na juhudi zake za kuimarisha zaidi viwanja vyake vya ndege ili kukuza sekta ya usafiri wa nga ndani ya taifa hilo.
-
SAUTI, Burundi yakumbwa na uhaba mkubwa wa mafuta, foleni ndefu zashuhudiwa vituo vya mafuta
Apr 09, 2018 13:31Vituo vya mafuta nchini Burundi vimeendelea kushuhudia foleni ndefu za watu wanaohitajia nishati hiyo huku wananchi wakiililia serikali ili iingilie kati kumaliza uhaba huo wa mafuta.
-
SAUTI, Wanasheria Uganda wafungua upya kesi ya kupinga Rais Museven kugombea tena nafasi hiyo
Apr 09, 2018 13:30Wanasheria na wanasiasa nchini Uganda wamefungua tena kesi ya kupinga maamuzi ya kubatilisha kipengee cha ukomo wa umri kwa mgombea urais nchini humo.
-
SAUTI, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kongo DR atishia kumzuia Moïse Katumbi kugombea urais kwa kumshitaki
Apr 09, 2018 13:24Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametishia kumfungulia mashitaka ya uhaini, Moïse Katumbi Chapwe mwezi wa Juni mwaka huu.
-
Mbunge Bungara wa Kilwa Kusini: Waziri Mkuu anaposema Tanzania kuna amani, mimi sielewi (na sauti)
Apr 09, 2018 10:35Mbunge wa Kilwa Kusini, wa chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, Selemani Saidi Ally Bungara amesema kuwa, hakubaliani na kipengee kilichopo kwenye hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kinachoeleza kuwa nchi hiyo ina amani sana.
-
Mradi maalumu wa kuboresha jiji la Dar es Salaam Tanzania + Sauti
Apr 09, 2018 03:20Serikali ya Tanzania imeanzisha mradi maalumu wa kuboresha mji wa Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu hali mbaya ya mji huo. Mwandishi wetu Omar Manji na maelezo yafuatayo...