Maafa ya mvua za Masika visiwani Zanzibar + Sauti
Apr 18, 2018 13:36 UTC
Zaidi ya watu elfu kumi wamekosa makazi visiwani Zanzibar kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha huku nyumba 16 zikipata athari za kuvunjika kuta na kusababisha baadhi watu kuhama makazi yao. Mwandishi wetu Harith Subeit ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
Tags