Serikali ya Uganda yatakiwa kuheshimu haki za binadamu + Sauti
Apr 18, 2018 13:32 UTC
Tume ya haki za binadamu nchini Uganda imeshauri vyombo vyote vya serikali kuheshimu haki za washukiwa kwa vyovyote vile. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
Tags