Waislamu wenye uwezo wahimizwa kuwasaidia wenzao wasiojiweza hasa wakati wa Ramadhani + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i43686-waislamu_wenye_uwezo_wahimizwa_kuwasaidia_wenzao_wasiojiweza_hasa_wakati_wa_ramadhani_sauti
Serikali na Waislamu wenye vipato vya juu nchini Kenya wametakiwa kuwasaidia waumini wa dini hiyo tukufu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, kama njia ya kuwawezesha kutekeleza ibada ya swaum pasi matatizo. Wito huo umetolewa na viongozi wa kidini huku serikali ikiwa tayari imeondoa ushuru unaotozwa tende zinazo agizwa kutoka ng'ambo kipindi hiki cha matayarisho ya mwezi huo wa neema. Mwandishi wetu Mombasa, Seifullah Murtadha ametutumia ripoti ifuayato.....
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Apr 26, 2018 12:48 UTC