-
Araghchi: Iran inaaminika, siku zote huheshimu kile inachosaini
Apr 22, 2025 07:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesisitiza kuwepo hakikisho la kudhaminiwa maslahi ya kiuchumi ya Iran kupitia makubaliano yoyote yatakayofikiwa na akaeleza kuwa, Iran ni ya kuaminika na daima huheshimu kile inachotia saini.
-
Iravani: Iran ni mmiliki wa visiwa vitatu katika maji ya Ghuba ya Uajemi
Apr 22, 2025 03:38Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi kwamba Iran inaingilia mamlaka ya visiwa vya Boumousi, Tunb Kubwa na Tunb Ndogo katika Ghuba ya Uajemi na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni na sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Iran: Sharti la msingi katika mazungumzo yoyote ni kuondolewa vikwazo
Apr 21, 2025 23:33Esmail Baghaei, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, mahitaji yetu ya kimsingi katika mazungumzo yoyote ni kuondolewa vikwazo kwa njia ambayo italeta matokeo yanayoonekana na yenye ufanisi.
-
Iran yasema Afrika itakuwa kitovu cha uchumi wa dunia
Apr 21, 2025 07:26Msemaji wa Serikali Iran amesema Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika utafanyika wiki ijayo sambamba na Maonyesho ya Saba ya Uwezo wa Biashara ya Nje ya Iran.
-
Kikosi cha IRGC cha Iran kina uwezo wa kukabiliana na tishio lolote la adui
Apr 21, 2025 07:24Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imethibitisha tena nguvu isiyotetereka na uimara wa hali ya juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kulinda ardhi na watu wa Iran.
-
Mipango na malengo makubwa ya Iran kwa ajili ya kushirikiana na nchi za Kiafrika
Apr 21, 2025 05:41Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeratibu mipango na kuainisha malengo yake kwa ajili ya ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi na bara la Afrika.
-
Araghchi: Wamarekani hawakuzungumzia suala jengine ghairi ya kadhia ya nyuklia
Apr 21, 2025 03:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana yanayofanyika kati ya Iran na Marekani kwa kusema: "mazungumzo yetu yanahusu masuala ya nyuklia na hatutakubali maudhui nyingine yoyote".
-
IRGC kuzindua manowari mpya kama za US, au bora zaidi
Apr 20, 2025 22:55Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Admeli Alireza Tangsiri amesema yumkini SEPAH ikazindua manowari mpya ambazo muundo wake unashabihiana au utakuwa bora zaidi kuliko wa Marekani.
-
Tathmini ya duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani mjini Roma
Apr 20, 2025 09:41Duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya timu ya mazungumzo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ujumbe wa Marekani ilifanyika Jumamosi ya jana Aprili 19, huko Roma, mji mkuu wa Italia.
-
Mwanadiplomasia wa zamani wa Iran: Mazungumzo na Marekani yanaendelea vizuri
Apr 20, 2025 09:19Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran na balozi wa zamani wa Iran nchini Italia amesema: "Mazungumzo na Marekani yamekuwa na mwanzo mzuri kimuundo na kiujuma.