-
Rais Pezeshkian: Tunaijenga Iran kwa kutegemea nguvu za ndani na kutoa majibu dhidi ya vikwazo
Feb 13, 2025 23:08Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa nguvu ya ndani na mshikamano wa kitaifa na kubainisha kwamba, licha ya vikwazo, tunaijenga Iran kwa kutegemea uwezo na nguvu za ndani.
-
Iran yapongeza hatua ya Afrika Kusini ya kuishtaki Israel ICJ
Feb 13, 2025 23:03Mansour Shakib Mehr, balozi wa Iran nchini Afrika Kusini amepongeza hatua ya serikali ya Pretoria ya kuwasilisha mashtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutokana na jinai za utawala huo ghasibu huko Gaza.
-
Malengo ya kisiasa na kiuchumi inayofuatilia Iran katika eneo la Amerika ya Latini
Feb 13, 2025 23:02Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Colombia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu wakitilia mkazo kupanuliwa na kustawishwa uhusiano baina ya pande mbili.
-
Iran yazindua meli mpya zilizoundwa na wazawa kwa ajili ya ulinzi wa pwani
Feb 13, 2025 07:51Iran imezindua meli 10 za walinzi wa pwani na meli za uongozaji wakati wa ziara ya Rais Masoud Pezeshkian katika mji wa bandari wa Ghuba ya Uajemi wa Bushehr hapa nchini.
-
Wizara ya Mambo ya Nje: Iran haikubali mazungumzo chini ya mashinikizo
Feb 13, 2025 07:14Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haikubali mazungumzo chini ya mashinikizo, na kutangaza kuwa: Katika kuendeleza utendaji wake wa kisheria, Iran, daima inaunga mkono suuala la kupatiwa ufumbuzi masuala mbalimbali kwa njia za kidiplomasia ikiwa ni pamoja na suala la nyuklia.
-
Iravani: Iran inaunga mkono kuundwa serikali jumuishi nchini Syria
Feb 13, 2025 03:22Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Iran inaunga mkono uundwaji wa serikali shirikishi kupitia uchaguzi huru na mazungumzo jumuishi ya kitaifa nchini Syria.
-
Pezeshkian: Siasa za Trump kuhusu mazungumzo ni za nyuso mbili
Feb 12, 2025 23:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa sera za rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kusema: "Akiwa juu ya jukwaa (Trump) anasema anataka kufanya mazungumzo na sisi, lakini wakati huo huo anafunga njia zote."
-
Mkutano wa dharura wa OIC kuhusu Gaza kufanyika kwa pendekezo la Iran
Feb 12, 2025 23:22Kikao kisicho cha kawaida cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ch kuchunguza njama ya Marekani na Israel ya kuwaondoa kwa nguvu watu wa Gaza, kitafanyikandani ya wiki zijazo kutokana na pendekezo la Iran.
-
Jibu la Iran kwa matamshi ya kiuhasama na yasiyo ya kidiplomasia ya Rais wa Marekani
Feb 12, 2025 22:56Katika ujumbe wake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilijibu matamshi ya kiuhasam na yasiyo ya kidiplomasia ya Rais wa Marekani, Donald Trump.
-
Imam Khamenei: Wairani wamepuuza vitisho vya kijinga vya adui na kutuma ‘ujumbe wa umoja’ kwenye maadhimisho ya Bahman 22
Feb 12, 2025 10:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Iran kwa kufikisha "ujumbe wa umoja" kwa jamii ya kimataifa katika maadhimisho ya miaka 46 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kihistoria ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979.