-
Iran: Ni aibu kwamba ulimwengu ‘umeshindwa' kuzuia jinai za Israel
Dec 19, 2024 03:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesikitishwa jamii ya kimataifa kushindwa kusimamisha jinai za utawala haramu wa Israel huku Marekani ikiuunga mkono utawala huo.
-
Rais Pezeshkian: Uhusiano mzuri baina ya nchi za Kiislamu utazima njama za maadui
Dec 19, 2024 00:13Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "kadiri tutavyoweza kuboresha uhusiano wetu na nchi za Kiislamu ndivyo tutakavyoweza zaidi kuzima njama za maadui dhidi yetu".
-
Marekani na Ujerumani, washirika wa mauaji ya kimbari yanayofanywa na Wazayuni Gaza
Dec 18, 2024 23:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameashiria sehemu ya maelezo yaliyotolewa na Ben Saul, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa, kwamba Ujerumani na Marekani zinachangia asilimia 99 ya silaha inazopatiwa Israel na akabainisha kwamba nchi hizo mbili ni washirika wa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais Pezeshkian aelekea Cairo kwa ajili ya mkutano wa D8
Dec 18, 2024 10:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian ameelekea Cairo, mji mkuu wa Misri, kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 11 wa nchi nane zinazoendelea za Kiislamu zinazojulikana kwa jina la D8.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Misri kushiriki kikao cha D-8
Dec 17, 2024 23:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea mjini Cairo Misri kwa ajili ya kushiriki kwenye kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la D-8 la nchi za Kiislamu zinazostawi.
-
Baqaei: Iran ilikuwa Syria kukabiliana na ugaidi na kwa mwaliko wa serikali
Dec 17, 2024 23:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran anasema Iran ilituma washauri wa kijeshi nchini Syria kwa ajili ya kusaidia nchi hiyo kupambana na ugaidi na kwamba itafunguliwa tena ubalozi wake nchini humo mara tu "mazingira yanayohitajika" yatakapoandaliwa.
-
Muhammad Islami: Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa
Dec 17, 2024 23:28Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, kivitendo Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa na taasisi hiyo iliyokuwa ikipigania haki za binadamu na uadilifu hivi sasa imepoteza kabisa ufanisi na uutendaji wake.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani na washirika wake wanakosea kikamilifu kudhani Muqawama umepoteza nguvu zake
Dec 17, 2024 08:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Marekani na washirika wake wanakoseka kikamilifu wanapodhani kwamba Muqawama umeishiwa nguvu na umemalizika.
-
Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kushiriki mkutano nchini Misri
Dec 17, 2024 07:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa, Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika mkutano wa D-8 nchini Misri.
-
Iran: US na Ujerumani zinasaidia mkono kwa mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza
Dec 17, 2024 04:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, Marekani na Ujerumani zinasaidiana mkono kwa mkono na Israel katika mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni huko Ghaza.