-
Iran Kurudi Nyuma, Kamwe?
Dec 16, 2024 23:08Je, Iran imelegeza kamba na kurudi nyuma? Wakati Donald Trump alipojiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanza kutekeleza sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran, wengi walidhani kuwa Iran ingesalimu amri.
-
Iran yahimiza kufanyika juhudi zaidi za pamoja za kukomesha jinai za Israel
Dec 16, 2024 08:05Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Kisiasa, Majid Takht Ravanchi amesema kuwa, nchi zote lazima zifanye juhudi za dhati za kukomesha ukatili wa utawala wa Israel na kuwaadhibu viongozi wa utawala huo kutokana na jinai zao za kutisha.
-
Ubalozi wa Iran nchini Syria kufunguliwa hivi karibuni
Dec 16, 2024 03:58Hossein Akbari Balozi wa Iran nchini Syria ameeleza kuwa ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Damascus ambao ulifungwa kufuatia matukio ya karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu utaanza shughuli zake hivi karibuni.
-
Araqchi asisitiza kuendeleza mashauriano kati ya Iran na Japan
Dec 16, 2024 03:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuhusu umuhimu wa kuendeleza mashauriano kati ya pande mbili kuhusu masuala ya amani na utulivu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza
Dec 16, 2024 03:22Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,
-
Spika wa Bunge la Iran ataka kudumishwa umoja wa Waislamu kukabiliana na jinai za Israel
Dec 15, 2024 23:13Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kudumishwa umoja na mshikamano baina ya mataifa ya Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na jinai za utawala haramu wa Israel.
-
Iran: Marekani imepuuza sheria za haki za binadamu kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni
Dec 15, 2024 07:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa: Marekani imepuuza sheria za kimataifa na maamuzi yote ya taasisi za haki za binadamu kwa uungaji mkono wake mkubwa na usio na kikomo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Marekani ni mwekaji mkubwa zaidi wa vikwazo na mkiukaji mkuu wa haki za binadamu
Dec 15, 2024 03:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema Marekani ndiye mwekaji mkubwa zaidi wa vikwazo duniani na mkiukaji mkuu wa "kimfumo" wa haki za binadamu.
-
Kiwango cha safari za meli za kibiashara za Iran kimeongezeka sana
Dec 14, 2024 23:37Ali Akbar Safaei, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bandari na Safari za Baharini la Iran amesema kuwa: Uwezo wa meli za kibiashara za Jamhuri ya Kiislamu umeongezeka sana na kufikia meli 87 baada ya wataalamu wake wa ndani kutengeneza meli mpya zaidi na nyingine kununua kutoka nje.
-
Rais wa Iran azindua mafanikio 6 ya utafiti wa Chuo Kikuu cha Tehran
Dec 14, 2024 09:11Sambamba na ufunguzi wa maonyesho ya 12 ya vifaa vya maabara ambavyo vimeundwa Iran, Rais wa Jamhuri ya Iran amezindua mafanikio 6 ya utafiti wa Chuo Kikuu cha Tehran.