-
Rais Pezeshkian: Kambi ya Muqawama itashinda njama za magaidi
Dec 02, 2024 23:21Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuboresha ushirikiano na Syria ili kuondokana na mgogoro unaoendelea katika nchi hiyo ya Kiarabu baada ya magenge ya kigaidi kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi yao ya kikatili.
-
Rais Pezeshkian: Kuenea ugaidi Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili
Dec 02, 2024 23:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kusisitiza kuwa, kuenea machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili, hivyo ni wajibu wa nchi zote kushirikiana kupambana na vitendo hivyo vya kigaidi.
-
Ismail Baqaei: Utambulisho na malengo ya magaidi nchini Syria hayajabadilika
Dec 02, 2024 08:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa mienendo ya makundi ya kigaidi ni tofauti na zamani, lakini kwamba utambulisho na malengo yao hayajabadilika.
-
Kulindwa na kudumishwa umoja wa ardhi yote ya Syria, mkakati wa kikanda wa Iran
Dec 02, 2024 05:59Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri wa Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa kudumishwa na kulindwa umoja wa ardhi za nchi zingine ikiwemo Syria ni mkakati wa kikanda wa Iran. Rais Pezeshkian ametoa sisitizo hilo katika mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammad Shia al-Sudani.
-
Araghchi: Matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wamarekani na Wazayuni dhidi ya eneo
Dec 02, 2024 03:53Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wazayuni na Wamarekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.
-
Rais wa Iran: Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuzuia kuendelea mgogoro wa Syria
Dec 01, 2024 09:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia hali ya Syria, na kusema: Nchi za Kiislamu lazima ziingilie kati ili kuzuia kutumia vibaya Marekani na Israel kutokana na mapigano ya ndani ya mataifa na kuzuia kuendelea kwa migogoro hiyo.
-
Duru mpya ya hatua za kidiplomasia za Iran kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika eneo
Dec 01, 2024 08:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha duru mpya ya hatua za kidiplomasia katika eneo kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kigaidi na kitakfiri.
-
Araghchi: Magenge ya ukufurishaji hayawezi kufanya lolote mbele ya Muqawama
Dec 01, 2024 08:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, harakati za kidiplomasia na mapambano kwenye medani ya vita ni vitu viwili visivyotenganishika na kwamba nguvu za kidiplomasia zinategemea nguvu za kwenye medani ya mapambano.
-
Iran: Njama za Wamarekani na Wazayuni nchini Syria zinalenga kuyumbisha Asia Magharibi
Dec 01, 2024 01:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi anasema kuibuka tena ugaidi wa kitakfiri kaskazini mwa Syria ni sehemu ya mradi wa Marekani na Israel unaolenga kueneza ukosefu wa usalama katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran
Dec 01, 2024 00:42Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.