-
Setilaiti ya kwanza ya rada ya Iran kuzinduliwa karibuni hivi
Jan 11, 2026 00:23Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Iran ametangaza kuwa: Setilaiti ya kwanza ya rada ya Iran ambayo imebuniwa na kutengenezwa na Shirika la Anga za Mbali la Sairan la Iran itazinduliwa karibuni hivi.
-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kuunga mkono Palestina na kuilaani Israel
Jan 10, 2026 23:12Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul na kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na kulaani sera za utawala haramu wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa: Watu milioni 30 nchini Sudan wanahitajia msaada wa haraka
Jan 10, 2026 23:10Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu milioni 30 nchini Sudan wanahitajia msaada wa haraka wa kibinadamu.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao
Jan 10, 2026 23:08Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamesisitiza azma thabiti ya nchi zao ya kuimarisha na kupanua uhusiano wa nchi zao katika nyanja mbalimbali.
-
Maandamano makubwa yaendelea Marekani baada ya maafisa wa Trump kumuua kinyama mwanamke
Jan 10, 2026 23:03Maandamano makubwa yanaendelea katika kona zote za Marekani, kulaani sera za uhamiaji za Donald Trump, rais mbaguzi wa rangi wa nchi hiyo, hasa baada ya serikali yake kuwapongeza maafisa wake waliomuua kikatili mwanamke mmoja huko Minnesota na Portland na kujeruhi wengine wawili.
-
Uingereza yashirikiana na Imarati kumiliki bandari ya Somaliland dhidi ya Sudan
Jan 10, 2026 23:02Serikali ya Uingereza imeripotiwa kumiliki bandari ya kimkakati inayodhibitiwa na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) katika eneo la Somaliland lililotangaza kujitenga la Somalia. Bandani hiyo ni sehemu ya mtandao wa miundombinu ya Imarati inayotumika kuvipelekea silaha Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vinavyofanya mauaji ya umati nchini Sudan.
-
Umoja wa Mataifa: Zaidi ya wakimbizi 50 wa Congo wamefariki Burundi
Jan 10, 2026 23:01Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, zaidi ya wakimbizi 50 wanaokimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamefariki duniani katika nchi jirani ya Burundi.
-
Kwa nini kunaibuka ufa baina ya Marekani na Ulaya?
Jan 10, 2026 22:59Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekosoa mwelekeo wa sera za kigeni za Marekani hivi sasa na kusema hivi sasa Marekani imeanza hatua kwa hatua kujiweka mbali na waitifaki wake sambamba na kukiuka sheria za kimataifa.
-
Dakta Larijani: Mamluki wa Marekani na Israel wanahusika katika machafuko nchini Iran
Jan 10, 2026 08:41Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, mikono ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika matukio haya iko wazi na dhahiri.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao
Jan 10, 2026 08:41Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamesisitiza azma thabiti ya nchi zao ya kuimarisha na kupanua uhusiano wa nchi zao katika nyanja mbalimbali.