-
UNRWA: Misaada inayoingia Gaza inakabiliwa na vivingiti shadidi vya Israel
Jan 09, 2026 07:30Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi Wapalestina (UNRWA) limetangaza kuwa vizingiti vilivyowekwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika njia za kuingia Ukanda wa Gaza vimesababisha kupungua kwa kiwango kikubwa misaada kwa Wapalestina katika eneo hilo.
-
Kiongozi Muadhamu: Mikono ya Trump imeloa damu ya maelfu ya Wairani
Jan 09, 2026 07:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kundi la watu waharibifu jana usiku mjini Tehran waliharibu mali za umma na za wananchi kwa ajili ya kumfurahisha rais wa Marekani.
-
UN yasikitishwa na Trump kuiondoa Marekani katika taasisi za kimataifa
Jan 09, 2026 03:13Umoja wa Mataifa umesema umesikitishwa na hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kutoa amri ya kuitoa nchi hiyo kwenye taasisi 66 za kimataifa, zikiwemo za UN.
-
Venezuela: Watu 200 waliuawa, kujeruhiwa wakati wa kutekwa Maduro
Jan 09, 2026 02:54Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela amesema idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la karibuni la Marekani wakati ikimteka nyara Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini imeongezeka na kupindukia watu 200.
-
"Handala" yafichua operesheni za MOSSAD ndani ya Iran
Jan 09, 2026 02:53Kundi moja la kutetea Palestina linalofahamika kwa jina la Handala limefichua utambulisho wa Mehrdad Rahimi, mtu anayeelezwa kuwa afisa wa kusimamia na kuendesha operesheni za maajenti wa shirika la kijasusi la Israel la Mossad hapa nchini Iran.
-
Wizara ya Afya ya Palestina: Waliouawa shahidi Gaza ni zaidi ya 71,300
Jan 09, 2026 02:53Wizara ya Afya ya Palestina imeeleza katika takwimu zake za hivi karibuni kwamba, Wapalestina zaidi ya 71,000 wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari vilivyoanzishwa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza Oktoba 2023.
-
Araghchi: Iran inaunga mkono umoja wa kitaifa wa Lebanon
Jan 08, 2026 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imeiunga mkono na itaendelea kuinga mkono Lebanon, umoja wa kitaifa, uhuru na mamlaka ya kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Human Rights Watch: Haki ya kuandamana inahujumiwa nchini Uingereza
Jan 08, 2026 22:55Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch lilisema jana Alhamisi kwamba haki ya kuandamana nchini Uingereza inahujumiwa baada ya kupitishwa hatua za ukandamizaji ambazo zimezidisha masharti na adhabu dhidi ya maandamano ya amani.
-
Watumiaji wa X waguswa na mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya mwanamke: Hawa ndio mazimwi wa Marekani ya Trump
Jan 08, 2026 22:53Mauaji yaliyofanywa na afisa wa polisi wa Marekani dhidi ya mwanamke kijana katika jimbo la Minnesota yameibua wimbi la hasira na ukosoaji kutoka kwa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X.
-
Somalia yakanusha madai ya Marekani ya kutwaa chakula cha WFP
Jan 08, 2026 22:53Somalia jana Alhamisi ilikanusha madai ya Marekani kwamba maafisa wa eneo hilo wametwaa bidhaa za chakula kutoka katika ghala la shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), huku Washington ikisimamisha misaada kwa Mogadishu kusubiri uchunguzi.