-
Meja Jenerali Hatami: Vitisho vya maadui havitapita bila kujibiwa
Jan 07, 2026 08:02Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran, Meja Jenerali Amir Hatami amesema Jamhuri ya Kiislamu inayatazama matamshi ya vitisho na kichochezi ya maadui zake kuwa tishio la moja kwa moja dhidi ya taifa hili, na itatoa majibu madhubiti iwapo vitisho hivyo vitaendelea kutolewa.
-
Baghaei: Israel ibebeshwe dhima kwa mashambulizi ya kinyama Lebanon
Jan 07, 2026 06:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuiwajibisha Israel kwa uhalifu wa kivita, kufuatia wimbi la mashambulizi mabaya dhidi ya Lebanon, na kukanyaga makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Mvua, mafuriko yaua na kujeruhi makumi ya watu Madagascar
Jan 07, 2026 06:46Wau wasiopungua 11 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na athari za mvua kubwa ambazo zimekuwa zikinyesha nchini Madagacar kwa wiki kadhaa sasa.
-
Imarati inapanga kuijengea Israel kambi ya jeshi karibu na Saudi Arabia
Jan 07, 2026 06:43Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vimefichua mpango wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kujenga kambi ya kijeshi ya Israel karibu na mpaka wa nchi hizi mbili za Kiarabu.
-
Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Jan 07, 2026 06:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Afrika yasisitiza mshikamano na Venezuela baada ya uvamizi wa Marekani kumteka nyara Maduro
Jan 07, 2026 04:34Nchi za Kiafrika zimesisitiza mshikamano wao na Venezuela kufuatia uvamizi uliofanywa na Marekani nchinii humo na kumteka nyara Rais Nicolas Maduro.
-
Pezeshkian: Maadui wanajaribu kuzuia maendeleo ya taifa kupitia vikwazo
Jan 07, 2026 04:27Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mashinikizo ya nchi ajinabi dhidi ya taifa la Iran.
-
UN: Marekani kumteka nyara Maduro kunayumbisha usalama wa dunia
Jan 07, 2026 04:21Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeitolea wito jamii ya kimataifa kuwaslisha ujumbe wa wazi kwamba mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa hivi karibuni na Marekani dhidi ya Venezuela, ikiwemo kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro, kumeifanya dunia kuwa na usalama mdogo.
-
Jeshi la Benin lauwa magaidi 45 kaskazini mwa nchi
Jan 07, 2026 04:14Jeshi la Benin limetangaza kuwa limeuwa magaidi 45 katika muda wa miezi mitatu ya oparesheni dhidi ya ugaidi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan: Netanyahu ni mtenda jinai anayechukiwa zaidi katika historia
Jan 07, 2026 04:07Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amemtaja Waziri Mkuu wa Israel kuwa mtenda jinai anayechukiwa zaidi katika historia na kusema: "Uongo wa Benjamin Netanyahu dhidi ya miradi ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayoendeshwa kwa malengo ya amani ulikuwa kisingizio tu cha kuhalalisha mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.