mpya kabisa
  • “Usalama ni Mstari Mwekundu”: Iran yaapa kujibu vikali vitisho vinavyozidi kuongezeka

    “Usalama ni Mstari Mwekundu”: Iran yaapa kujibu vikali vitisho vinavyozidi kuongezeka

    Jan 06, 2026 23:28

    Baraza la Ulinzi la Iran limelaani vitisho vinavyozidi kuongezeka, kauli za uchochezi na matamshi ya kuingilia mambo ya ndani, hususan kutoka Marekani,  dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, likionya kuwa shambulio lolote dhidi ya usalama, uhuru au mipaka ya ardhi ya taifa litakabiliwa kwa majibu makali.

  • IRGC: Iran haiogopi vitisho na haitakubali kutawaliwa na Marekani

    IRGC: Iran haiogopi vitisho na haitakubali kutawaliwa na Marekani

    Jan 06, 2026 23:27

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, amesema kuwa Iran haiogopi vitishio vya maadui na kamwe haitakubali kutawaliwa na Marekani. Ametoa kauli hiyo kujibu vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Somalia yalaani ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Israel huko Somaliland

    Somalia yalaani ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Israel huko Somaliland

    Jan 06, 2026 23:27

    Serikali ya Somalia Jumanne imelaani ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Gideon Saar, katika Somaliland, ikieleza kuwa ni “uvunjaji wa mamlaka usioidhinishwa” na ikaitaka Tel Aviv kusitisha mara moja hatua zote zinazodhoofisha uhuru na umoja wa ardhi ya Somalia.

  • Wazayuni wamefanya mashambulizi 24,000 katika Ukingo wa Magharibi

    Wazayuni wamefanya mashambulizi 24,000 katika Ukingo wa Magharibi

    Jan 06, 2026 23:26

    Ripoti ya kila mwaka ya shirika moja la Palestina imefichua kuwa, katika kipindi cha mwaka uliopita wa 2025, Wazayuni wamefanya karibu mashambulizi 24,000 katika eneo la Ukingo wa Magharibi la Mto Jordan huko Palestina.

  • Marekani ilidhani Maduro wa Venezuela ni Noriega, ikapata Mandela

    Marekani ilidhani Maduro wa Venezuela ni Noriega, ikapata Mandela

    Jan 06, 2026 23:26

    Ubalozi wa Jamhuri ya Bolivaria ya Venezuela ulioko Tehran, mji mkuu wa Iran, umefananishia Rais Nicolas Maduro , aliyetekwa hivi karibuni , na kiongozi wa kupinga ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini, shujaa Nelson Mandela, ukisisitiza kuwa Marekani imekosea kutathmini uongozi wa Venezuela na wananchi wake.

  • Qalibaf: Israel ilibembeleza kusitisha mapigano wakati wa vita vya siku 12

    Qalibaf: Israel ilibembeleza kusitisha mapigano wakati wa vita vya siku 12

    Jan 06, 2026 08:41

    Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa: Katika siku chache za mwisho za vita vya siku 12, utawala wa Kizayuni uliomba kwa kubembeleza kusitisha mapigano na ukweli huo unaonesha nguvu ya Muqawama wa taifa la Iran mbele ya wavamizi.

  • Baqaei: Vikosi vya Iran viko macho kukabiliana na vitisho vyovyote vya adui

    Baqaei: Vikosi vya Iran viko macho kukabiliana na vitisho vyovyote vya adui

    Jan 06, 2026 08:41

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje amesema kuhusu mazingira yaliyozushwa ya kuonesha kuna uwezekano wa kurudiwa uchokozi wa kijeshi dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa: Kilicho muhimu na kinachotuhusu sisi ni kuimarisha nguvu zetu na kuwa macho zaidi kulihami taifa la Iran.

  • Venezuela yaunda kamati maalumu ya kumkomboa Rais Maduro

    Venezuela yaunda kamati maalumu ya kumkomboa Rais Maduro

    Jan 06, 2026 08:40

    Waziri mmoja wa Venezuela ametoa taarifa ya kuundwa tume maalumu katika bunge la nchi hiyo ya kumkomboa Rais Nicolas Maduro kutoka kwenye makucha ya kibeberu ya Trump na wenzake.

  • Israel yafanya mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Lebanon

    Israel yafanya mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Lebanon

    Jan 06, 2026 08:40

    Israel imefanya mfululizo wa mashambulizi ya anga katika maeneo yote ya kusini na mashariki mwa Lebanon, ikiendelea kukanyaga makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo lengo lake ni kukomesha uchokozi wa Israeli dhidi ya uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.