-
Ethiopia yakanusha kuwepo kambi za waasi wa RSF katika ardhi yake
Dec 10, 2025 02:49Ethiopia imekanusha madai ya kuwepo kambi za wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika ardhi yake, ikisema yanalenga kuibua ugomvi kati ya nchi hiyo na jirani yake, Sudan.
-
Msemaji wa UNRWA: Kinachoendelea Gaza hakijawahi kushuhudiwa tangu wakati wa Vita vya Pili vya Dunia
Dec 10, 2025 02:47Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) amesema kwamba "kinachoendelea huko Gaza hakijawahi kushuhudiwa tangu wakati wa Vita vya Pili vya Dunia."
-
Iran, China, Saudia zakutana kuimarisha uhusiano na kudumisha amani
Dec 09, 2025 23:43Kikao cha tatu wa Kamati ya Pande Tatu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Saudi Arabia na Jamhuri ya Watu wa China cha kufuatilia Makubaliano ya Beijing kilifanyika jana Jumanne hapa Tehran kwa kuhudhuriwa na wajumbe wa ngazi za juu wa pande hizo tatu.
-
Rais wa Afrika Kusini asema uhuru wa Palestina ni njia pekee ya kutaleta amani endelevu
Dec 09, 2025 23:13Rais wa Afrika Kusini alisema Jumatatu kuwa “chochote kilicho chini ya uhuru wa Palestina na kutambuliwa kwa haki za msingi za binadamu za watu wa Palestina hakitakubalika na hakitapelekea amani ya haki na endelevu katika eneo hilo.”
-
UNIFIL yapinga madai ya Israel kuhusu silaha za Hizbullah
Dec 09, 2025 23:12Kamanda wa Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon (UNIFIL) amesema kuwa ujumbe wa kulinda amani wa kimataifa haujapata ushahidi wowote kuhusu Harakati ya Hizbullah kujenga upya uwezo wake wa kijeshi, akikanusha madai ya Israel yaliyotumika kama kisingizio cha kushambulia kusini mwa Lebanon.
-
RSF: Israel ni muuaji mkuu wa waandishi wa habari duniani
Dec 09, 2025 23:11Shirika la Waandishi wa Habari Bila Mipaka (RSF) limesema utawala wa Israel ni muuaji mkuu wa waandishi wa habari duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo, na limeutaka utawala huo uwajibike kwa kusababisha karibu nusu ya vifo vya waandishi wa habari duniani mwaka 2025, hasa katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
UN: Watu 74 wamuawa katika mapigano mashariki mwa DRC, mapatano ya Trump yafeli
Dec 09, 2025 23:11Angalau watu 74, wengi wao wakiwa raia, wameuawa na 83 kujeruhiwa kutokana na mapigano ya karibuni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na mratibu wa misaada wa Umoja wa Mataifa nchini humo jioni ya Jumatatu.
-
Nigeria imewezaje kusambaratisha mahesabu ya mapinduzi nchini Benin?
Dec 09, 2025 23:05Uingiliaji wa haraka wa Nigeria kwa ombi la serikali ya Benin, ulifelisha jaribio la mapinduzi na kuzuia kuenea kwa ukosefu wa utulivu katika Afrika Magharibi.
-
Hatua mpya katika uhusiano wa Iran na Kenya; kianzio katika diplomasia ya Kiafrika ya Tehran?
Dec 09, 2025 09:12Balozi wa Iran nchini Kenya amesema kuwa uhusiano kati ya Tehran na Nairobi umeingia katika hatua mpya.
-
ICC imemhukumu kiongozi wa Janjaweed wa Darfur kifungo cha miaka 20 jela
Dec 09, 2025 08:05Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) leo Jumanne wamemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed katika jimbo la Darfur Sudan kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ukatili katika jimbo la Darfur.