-
Araghchi: Ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo
Dec 01, 2025 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo.
-
UN yatahadharisha kuhusu janga la njaa linalotishia wakimbizi nchini Ethiopia
Dec 01, 2025 23:12Shirika la Mpango wa Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limeonya kwamba wakimbizi nchini Ethiopia wako katika hatari ya kufa njaa kutokana na uhaba mkubwa wa fedha unaolilazimisha shirika hilo kupunguza mgao wa chakula.
-
Ma'ariv: Jeshi la Israel limechoka baada ya miaka miwili ya vita
Dec 01, 2025 23:12Chombo cha habari cha Kizayuni kimefichua katika ripoti yake kwamba baada ya miaka miwili na miezi miwili ya vita vikali katika pande saba, jeshi la Israel limechakaa, maafisa wake wamechoka, na wanajeshi wana ndoto ya kurudi majumbani mwao.
-
Kwa nini umma unapaza sauti zaidi katika mitaa ya Paris kupinga migongano ya sera za Ulaya?
Dec 01, 2025 23:10Makumi ya maelfu ya watu huko Paris, mji mkuu wa Ufaransa, wametoa kauli mbiu "Muqawama; kutoka Paris hadi Palestina; wakiunga mkono Wapalestina.
-
Cameroon: Mpinzani wa Rais Biya amefariki dunia akiwa kizuizini
Dec 01, 2025 11:13Kiongozi wa kisiasa na kinara wa chama cha upinzani cha Manidem nchini Cameroon, Anicet Ekane, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Desemba 1.
-
Mitazamo ya pamoja ya Tehran-Ankara kuunga mkono Palestina na kukabiliana na uingiliaji wa kigeni
Dec 01, 2025 09:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan amekutana hapa mjini Tehran na kufanya mashauriano na Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf, na Waziri wa Mambo ya Nje Seyyed Abbas Araqchi.
-
Msemaji wa SEPAH: Tutajibu vikali mno na zaidi, uovu wowote mpya wa adui
Dec 01, 2025 06:57Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, amesisitiza kwamba adui hana uthubutu wa kufanya uvamizi mpya wala uwezo wa kurudia makosa yake ya huko nyuma na kuongeza kuwa, kama adui atafanya uovu wowote mpya dhidi ya Iran, atapata jibu zito zaidi na kali mno zaidi kuliko huko nyuma na hicho ni kitu ambacho hakina chembe ya shaka.
-
Baghaei: Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa amani na usalama wa kimataifa
Dec 01, 2025 06:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya iran amesema kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya amani ya dunia kuwa, ukweli ni kwamba Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa amani na usalama wa kimataifa, na hivi sasa tunashuhudia matumizi maovu ya nguvu za Marekani katika nchi kama Venezuela na Afrika Kusini.
-
Watu 1,000 wafariki dunia katika mafuriko Indonesia, Sri Lanka, Thailand, Malaysia
Dec 01, 2025 06:56Mafuriko mabaya yaliyozikumba nchi za Indonesia, Sri Lanka, Thailand na Malaysia yamepelekea zaidi ya watu 1,000 kupoteza maisha katika kipindi cha chini ya wiki moja. Kwa uchache watu 502 wameripotiwa kufariki dunia nchini Indonesia, 335 nchini Sri Lanka, 176 nchini Thailand na watatu nchini Malaysia.
-
Ethiopia yazindua mkakati wa miaka mitano wa kuendeleza uchumi wa kidijitali
Dec 01, 2025 06:55Serikali ya Ethiopia imezindua Mkakati wa Kidijitali wa Ethiopia 2030, unaolenga kukuza matumizi ya teknolojia katika sekta zote za kiuchumi na kuugeuza uchumi wa nchi hiyo ya Pembe ya kuwa wa kidijitali kikamilifu.