-
Russia: Tupo tayari kuisaidia Nigeria katika mapambano dhidi ya ugaidi
Nov 26, 2025 03:42Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa nchi hiyo ipo tayari kusaidia na kuung amkono juhudu za nigeria za kupambana na ugaidi. Bi Zakharova aidha amepongeza jitihada kubwa za serikali ya Abuja za kukabiliana na makundi yenye misimamo mikali.
-
Cuba: Marekani inaishinikiza Venezuela ili kuitwaa ardhi ya nchi hiyo
Nov 26, 2025 03:41Bruno Rodriguez Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amesema kuwa Marekani inatumia uzushi kuhalalisha operesheni zake za kijeshi dhidi ya Venezuela, kwa lengo la kuiangusha serikali ya nchi hiyo na kudhibiti rasilimali za mafuta za nchi hiyo.
-
Iran yaishukuru Pakistan kwa kuwa pamoja nayo wakati wa vita vya kulazimishwa
Nov 25, 2025 23:33Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran (SNSC) Ali Larijani ameishukuru Pakistan kwa kuiunga mkono Tehran wakati wa "vita visivyo vya haki" vya mwezi Juni 2025 vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Caracas yamhutubu waziri wa Israel: Jina Venezuela ni kubwa, haliwezi kutamkwa na kinywa chako kichafu
Nov 25, 2025 23:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela ametumia lugha kali kujibu tuhuma za waziri wa mambo ya nje wa utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Caracas, kwa kumwita waziri huyo "mhalifu wa kivita" ambaye iwe sasa hivi au baadaye lazima akawajibishwe mbele ya vyombo vya haki na sheria vya kimataifa.
-
Gazeti la Haaretz lamuonya Netanyahu: Israel inaelekea kuporomoka kwa ndani
Nov 25, 2025 23:32Gazeti la Kiebrania la Haaretz limeikosoa serikali ya utawala wa kizayuni wa Israel na waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu, likionya kwamba utawala huo unaelekea kuporomoka kwa ndani huku Netanyahu akifanya juu chini ili kuanzisha vita vipya kwa ajili ya eti kuzuia kile gazeti hilo linachokiita "uangamiaji wa Israel".
-
Katibu Mkuu wa UN atoa indhari kali: Dunia inabadilika kwa kiwango cha kutisha
Nov 25, 2025 23:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa onyo kali katika hotuba yake kwa Mkutano wa Saba wa Pamoja wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya unaofanyika mjini Luanda Angola akisema, dunia inapitia mabadiliko ya kasi na ya kina, yanayochochewa na janga la tabianchi, kuongezeka kwa ukosefu wa usawa na misisimko ya nguvu za kimataifa.
-
Afghanistan: Shambulio la Pakistan limeua watoto tisa na mwanamke mmoja mkoani Khost
Nov 25, 2025 23:30Msemaji wa serikali ya muda ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban Zabihullah Mujahid, amesema watoto tisa na mwanamke mmoja wameuawa baada ya vikosi vya jeshi la Pakistan kushambulia nyumba moja katika jimbo la Khost kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kwa nini Ulaya imechukua mkondo wa sera kali dhidi ya wakimbizi?
Nov 25, 2025 23:06Ujerumani inataka kuweka sheria kali zaidi dhidi ya wakimbizi na wahamiaji, na inapanga kufukuza nchini humo idadi kubwa ya wakimbizi.
-
Trump asaini dikri dhidi ya Ikhwanul Muslimeen
Nov 25, 2025 07:44Kwa kutia saini amri ya utendaji dhidi ya Ikhwanul Muslimeen au kwa jina jingine Muslim Brotherhood, Rais Donald Trump wa Marekani ameweka baadhi ya matawi ya kundi hilo la Kiislamu katika orodha ya "mashirika ya kigeni ya kigaidi".
-
Yemen: Tunasimama na Lebanon na wapiganaji wa muqawama nchini humo
Nov 25, 2025 07:38Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa Lebanon dhidi ya uvamizi na uchokozi wa mara kwa mara wa utawala ghasibu wa Kizayuni.