-
Cuba: Marekani inataka kuivamia kijeshi Venezuela kwa visingizio vya uongo
Nov 22, 2025 03:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Cuba amelaani vikali hatua za Marekani za kuhalalisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Venezuela.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia aonya kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Sudan
Nov 22, 2025 03:44Waziri Mkuu wa Malaysia ameonya kuhusiana na kuongezeka kwa uingiliaji wa kigeni nchini Sudan.
-
Afrika Kusini yasema haitakabidhi kwa balozi mdogo wa Marekani urais wa G20 wa 2026
Nov 21, 2025 23:57Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Vincent Magwenya amesema, kiongozi huyo hatomkabidhi balozi mdogo wa Marekani urais wa mkutano wa G20 kwa mwaka 2026 baada ya Marekani kusisitiza kuwa haitohudhuria mkutano huo rasmi jijini Johannesburg.
-
Moscow: Stratijia ya Magharibi ya mashinikizo na vikwazo dhidi ya Iran haina tija
Nov 21, 2025 23:51Mjumbe wa Baraza la Uhusiano Baina ya Kaumu Mbalimbali linalosimamiwa na Rais Vladimir Putin wa Russia amesema vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran havitafua dafu.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Mshikamano, Guterres aihimiza dunia izidi kuwaunga mkono Wapalestina
Nov 21, 2025 23:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa wito wa kuwepo uungaji mkono mpya kimataifa kwa watu wa Palestina na haki yao ya kujitawala, akisema, mateso ya Palestina yamefikia "viwango ambavyo havijawahi kushuhudiwa" katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
Cristiano Ronaldo akosolewa vikali kwa kukutana na Trump White House katika dhifa ya chakula
Nov 21, 2025 23:12Nyota wa soka wa Ureno Cristiano Ronaldo anaandamwa na wimbi la ukosoaji mkali baada ya kushiriki kwenye dhifa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa ajili ya ujumbe wa Saudi Arabia.
-
Mahakama ya Nigeria yamhukumu kifungo cha maisha jela kiongozi wa Wabiafra wanaopigania kujitenga
Nov 21, 2025 23:11Mahakama ya Nigeria imemhukumu Nnamdi Kanu, kiongozi wa harakati ya kupigania kujitenga ya Watu wa Asili wa Biafra (IPOB), kifungo cha maisha jela baada ya kumpata na hatia ya mashtaka yote saba aliyoshtakiwa yanayohusiana na ugaidi.
-
Sababu za Ripota wa UN za kuonya kuhusu kuendelea Ulaya kuipa silaha Israel
Nov 21, 2025 22:54Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuendelea nchi za Ulaya kuisheheneza silaha Israel licha ya kwamba kuna ushahidi wa kutosha na usiopingika wa jinsi utawala wa Kizayuni unavyotumia silaha hizo kufanya jinai na mauaji ya umati dhidi ya watu wasio na hatia.
-
Haj Ali Akbari: Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki hauna thamani yoyote kwa watu wa Iran
Nov 21, 2025 07:51Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa mashirika ya kimataifa kwa hatua zao zisizo na maana na zisizoaminika, akisema: "Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) halina thamani yoyote kwa taifa la Iran."
-
Harakati ya M-23: Mazungumzo ya amani na serikali ya Congo yanaendelea
Nov 21, 2025 07:00Harakati ya M-23 imethibitisha kwamba mazungumzo na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huko Doha yataendelea katika wiki zijazo.