-
The Guardian: Israel imetumia mabomu yaliyopigwa marufuku dhidi ya Lebanon
Nov 21, 2025 06:27Uchunguzi mpya uliofanywa na gazeti la Uingereza, The Guardian, umebaini kuwa Israel ilitumia mabomu yaliyopigwa marufuku wakati wa vita vyake vya hivi karibuni dhidi ya Lebanon.
-
Vyama vipya 25 vyasajiliwa, 30 vikiwasilisha maombi ya kusajiliwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Kenya
Nov 21, 2025 06:26Karibu vyama vipya 25 vya kisiasa vimepata usajili wa muda katika kipindi cha miezi michache iliyopita nchini Kenya, huku vingine zaidi ya 30 vikiwasilisha maombi ya kusajiliwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
-
Kupinga Uturuki ombi la Marekani la kuacha kununua gesi ya Russia
Nov 21, 2025 05:30Uturuki imekataa ombi la Marekani la kuitaka Ankara isinunue gesi kutoka Russia na kusema kuwa, haiwezi kuacha kununua gesi ya Russia kwa sababu imesaini makubaliano ya gesi na nchi hiyo na itaendelea kuheshimu makubaliano hayo.
-
Watoto wa Kipalestina katika jahanamu ya jela za Israel
Nov 21, 2025 05:27Jana, tarehe 20 Novemba, dunia iliadhimisha"Siku ya Watoto Duniani," huku hali ya mambo huko Palestina ikionyesha picha tofauti kabisa, ambapo watoto ndio wanaoongoza katika janga linaloendelea kulitesa eneo la Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Araghchi: Iran imejiandaa zaidi kukabiliana na uhasama wa Israel
Nov 21, 2025 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu sasa imejiandaa kuliko wakati wowote kukabiliana na uhasama wowote kutoka Israel.
-
Iran yalaani azimio la IAEA kuhusu mpango wake wa nyuklia
Nov 21, 2025 04:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali azimio lililopitishwa na Bodi ya Magavana wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), ikilitaja kuwa “batili na lisilo na msingi.”
-
Waasi wa RSF wameharibi viwanda zaidi ya 1,800 huko Khartoum, Sudan
Nov 21, 2025 04:29Waziri wa Viwanda na Biashara wa Sudan, Mahasen Ali Yaqoub, amesema kuwa zaidi ya viwanda 1,800 vimeharibiwa na kundi la waasi wa Rapid Support Forces (RSF) katika jimbo la Khartoum.
-
Rais wa Afrika Kusini akiashiria ubabe wa Marekani asema, hakuna taifa linalopaswa kulitisha jingine
Nov 21, 2025 04:28Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa hakuna taifa linalopaswa kulitisha jingine kwa nguvu za kiuchumi au kijeshi, akieleza kuwa mataifa yote ni sawa. Kauli hiyo ya kupinga ubabe wa Marekani imetolewa mjini Boksburg, mashariki mwa Johannesburg, wakati wa hitimisho la mkutano wa kijamii wa G20.
-
Makubaliano ya dola bilioni 1.4 ya kufufua reli ya TAZARA
Nov 21, 2025 04:27China, Zambia na Tanzania zimesaini makubaliano ya kihistoria ya dola bilioni 1.4 siku ya Alhamisi ya kufufua reli ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).
-
Ubepari wa Magharibi na Kuporomoka kwa Maadili
Nov 20, 2025 23:34Ubepari katika jamii za Magharibi, na msisitizo wake juu ya faida ya mtu binafsi na kutenganisha maadili na uchumi, umesababisha madhara makubwa na matokeo mabaya sana kwa maadili ya binadamu.