-
Rais wa Afrika Kusini akiashiria ubabe wa Marekani asema, hakuna taifa linalopaswa kulitisha jingine
Nov 21, 2025 04:28Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa hakuna taifa linalopaswa kulitisha jingine kwa nguvu za kiuchumi au kijeshi, akieleza kuwa mataifa yote ni sawa. Kauli hiyo ya kupinga ubabe wa Marekani imetolewa mjini Boksburg, mashariki mwa Johannesburg, wakati wa hitimisho la mkutano wa kijamii wa G20.
-
Makubaliano ya dola bilioni 1.4 ya kufufua reli ya TAZARA
Nov 21, 2025 04:27China, Zambia na Tanzania zimesaini makubaliano ya kihistoria ya dola bilioni 1.4 siku ya Alhamisi ya kufufua reli ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).
-
Ubepari wa Magharibi na Kuporomoka kwa Maadili
Nov 20, 2025 23:34Ubepari katika jamii za Magharibi, na msisitizo wake juu ya faida ya mtu binafsi na kutenganisha maadili na uchumi, umesababisha madhara makubwa na matokeo mabaya sana kwa maadili ya binadamu.
-
Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya IAEA lina lengo la kufidia kushindwa Marekani na Troika ya Ulaya
Nov 20, 2025 23:33Mwakilishi wa kudumu na balozi wa Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria amesema kupitishwa azimio la kisiasa dhidi ya nishati ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani ni jaribio la Marekani na Umoja wa Ulaya ili kufidia kushindwa kwao katika utaratibu wa Snapback huko New York.
-
WFP: Karibu robo ya wananchi wa Somalia wanakabiliwa na njaa kali
Nov 20, 2025 23:32Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana ulitahadharisha kuwa karibu robo ya jamii ya watu wa Somalia wanakabiliwa na njaa kali huku watoto zaidi ya milioni 1.85 walio na umri chini ya miaka mitano wakiwa katika hatari ya kupata utapiamlo mkali.
-
Nigeria yafunga shule katika jimbo la Kwara kufuatia ongezeko la ukosefu wa usalama
Nov 20, 2025 23:31Mamlaka husika katika Jimbo la Kwara nchini Nigeria zimefunga shule zote katika eneo la Iflodun, Ekiti, Irepodun, Isin na Oke Ero kufuatia vitisho vipya vya usalama katika jimbo hilo.
-
Save the Children: Israel imeua takriban watoto 20,000 huko Gaza
Nov 20, 2025 23:31Shirika la Save the Children limesema katika taarifa yake kuwa silaha za kijeshi na mada za milipuko zimeua idadi kubwa zaidi ya watoto duniani kote mwaka 2024, huku Ukanda wa Gaza ukiripoti idadi kubwa zaidi ya vifo.
-
Marekani kuiuzia Saudia ndege za kivita za F-35 zilizopunguzwa uwezo ili kuilinda Israel
Nov 20, 2025 23:28Maafisa wa Marekani na wataalamu wa ulinzi wanasema ndege za kivita aina ya F-35 ambazo Marekani inapanga kuuzia Saudi Arabia zitapungzwa uwezo kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na ndege kama hizo ambazo ziliuziwa utawala wa Israel, lengo likiwa ni kuhakikisha Israel inasalia kuwa yenye silaha bora za Kimarekani katika eneo la Asia ya Magharibi.
-
Kharrazi amwambia Trump: Huwezi kuilazimisha Iran kufumbia macho haki zake
Nov 20, 2025 06:47Kamal Kharrazi, mshauri wa ngazi za juu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe wa wazi kwa Marekani na kusema kuwa, siasa za Donald Trump za kutumia mabavu haziwezi kuifanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kubadilisha njia yake.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi la Israel na Marekani dhidi ya wakimbizi ya Palestina Lebanon
Nov 20, 2025 06:46Iran imelaani vikali shambulio la hivi karibuni la kigaidi lililofanywa na Israel kwa msaada kamili wa Marekani dhidi ya kambi kubwa zaidi ya wakimbizi ya Palestina kusini mwa Lebanon ikisema kwamba Marekani inahusika moja kwa moja na jinai hiyo.