-
WHO yaonya kuhusu vifo vya wagonjwa huko Gaza
Nov 16, 2025 00:56Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kushindwa kupata vibali vya kuondoka mara moja kwa wagonjwa kutoka Gaza kumesababisha vifo vya wagonjwa 900 hadi sasa.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu nchini Sudan
Nov 16, 2025 00:52Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Sudan, ukieleza kuwa watu wengi katika eneo hilo wanahitaji msaada wa haraka.
-
UNRWA: Israel inakiuka sheria za kimataifa kwa kuzuia misaada kwa Gaza
Nov 16, 2025 00:43Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limekosoa kuendelea kuwekewa vikwazo vya misaada katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, utawala ghasibu wa Israel kama utawala unaoukalia kwa mabavu hautekelezi wajibu wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
-
Msemaji wa serikali ya Iran: Jibu kali zaidi linasubiri uvamizi wowote utakaokaririwa dhidi ya nchi hii
Nov 15, 2025 23:25Msemaji wa serikali ya Iran ameeleza kuwa Iran itatoa jibu kali zaidi na kwa nguvu kubwa" ikilinganishwa na wakati uliopita ikiwa itakabiliwa na na uchokozi mpya wa nchi ajinabi.
-
Hamas yaonya kuhusu kuongezeka janga la kibinadamu Ukanda wa Gaza
Nov 15, 2025 23:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusiana na kushadidi janga la kibinadamuu katika Ukanda wa Gaza.
-
Kikosi cha Wanamaji cha IRGC chakamata meli ya mafuta kusini mwa Makran kwa kukiuka taratibu
Nov 15, 2025 23:01Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli ya mafuta katika pwani ya kusini ya Makran baada ya kupokea amri ya mahakama.
-
Watalii zaidi ya milioni 3 wa kigeni watembelea Iran katika muda wa miezi sita
Nov 15, 2025 22:59Waziri wa Turathi za Utamaduni na Utalii wa Iran ametangaza kuongezeka kwa idadi ya watalii wa kigeni wanaoingia na kutembelea Iran.
-
Jihadul-Islami: Muqawama hautaitambua Israel, hakutakuwa na suluhu bila Palestina kupata haki zake
Nov 15, 2025 22:59Mwakilishi wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema: "sisi katika mavuguvugu ya Muqawama wa Kiislamu hatutambui uwepo wa utawala wa Kizayuni na hatulazimiki kuutambua, hasa kwa vile utawala huu hautambui hata uwepo wa watu wa Palestina."
-
DRC na M23 zasaini "muundo kamili" wa mpango wa amani baada ya mazungumzo ya Doha
Nov 15, 2025 22:58Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la M23 zimesaini makubaliano ya muundo kwa ajili ya mkataba wa amani unaolenga kumaliza mapigano mashariki mwa nchi hiyo.
-
Nchi wanachama wa NATO kuilipa Marekani yuro milioni 400 za silaha itakazoipatia Ukraine
Nov 15, 2025 22:57Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO Mark Rutte amesema, nchi kadhaa wanachama wa shirika hilo zitachangia kwa pamoja shehena ya silaha na zana za kijeshi yenye thamani ya yuro milioni 400 kwa ajili ya Ukraine, ambazo zitanunuliwa kutoka Marekani.