-
Kwa nini China na Russia zimepinga azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu Gaza?
Nov 15, 2025 22:56Russia na China ambazo ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimetaka kufutwa kikamilifu "Tume ya Amani" kwenye matini ya rasimu iliyowasilishwa na Marekani kwenye baraza kuhusu Gaza.
-
Kikosi cha Wanamaji cha IRGC chakamata meli ya mafuta kusini mwa Makran kwa kukiuka taratibu
Nov 15, 2025 09:35Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli ya mafuta katika pwani ya kusini ya Makran baada ya kupokea amri ya mahakama.
-
Sababu za Trump kuyaweka kwenye orodha ya "ugaidi wa kimataifa" makundi manne ya mrengo wa kushoto ya Ulaya
Nov 15, 2025 09:15Washington imeyaweka kwenye orodha ya "ugaidi wa kimataifa" makundi manne ya mrengo wa kushoto yenye misimimamo mikali ya barani Ulaya.
-
Amir Saeed Iravani: Kamwe Iran haitasalimu amri mbele ya vitisho
Nov 15, 2025 08:57Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Tehran kamwe haitasalimu amri mbele ya vitisho vya kijeshi, mashinikizo ya kisiasa, au vikwazo vya kiuchumi.
-
WHO: Wapalestina 900 wameaga dunia Gaza kutokana na kuchelewa kupata huduma za matibabu
Nov 15, 2025 08:56Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kushindwa kupata vibali vya kuondoka mara moja kwa wagonjwa kutoka Gaza kumesababisha vifo vya wagonjwa 900 hadi sasa.
-
Afrika Kusini inafuatilia kesi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel
Nov 15, 2025 08:00Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, itaendelea kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki kwa tuhuma za kutenda mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Trump ajisalimisha kwa mfumuko wa bei; Marekani kupunguza ushuru kwa baadhi ya nchi za Amerika ya Kusini
Nov 15, 2025 07:46Ongezeko la bei za baadhi ya bidhaa za kimsingi nchini Marekani limeilazimisha serikali kujizuia kutoza ushuru wa ziada kwa uagizaji wa baadhi ya bidhaa kutoka Amerika Kusini.
-
HAMAS: Kwa msaada wa Iran, Muqawama una nguvu zaidi hivi sasa katika kukabiliana na adui Mzayuni
Nov 15, 2025 01:52Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Muqawama wa Ghaza amesema kuwa: Maadui walitaka kusambaratisha Muqawama kupitia vikwazo na mashinikizo, lakini kwa msaada wa Iran, Muqawama una nguvu zaidi hivi sasa za kupambana na adui Mzayuni kuliko hata ilivyokuwa huko nyuma.
-
Ramaphosa: Hatutowarudisha Wapalestina waliokuja Afrika Kusini
Nov 15, 2025 01:52Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, makumi ya Wapalestina waliofika nchini humo kwa ndege ya kukodi hawatarudishwa bali watapewa hifadhi nchini Afrika Kusini.
-
Rais wa Tanzania atoa msamaha kwa vijana waliofanya fujo wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu
Nov 15, 2025 01:51Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa vijana waliofanya fujo wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 akisema kuwa, walifuata mkumbo na hawakujua walifanyalo.