-
China: Hatutosita kuchukua hatua kali iwapo maslahi yetu yatahatarishwa na vikwazo dhidi ya Iran
Oct 27, 2025 23:45Balozi wa China nchini Iran amesema kuwa nchi yake haitosita kuchukua hatua za kukabiliana na vikwazo dhidi ya Iran ikiwa vikwazo hivyo vitaathiri maslahi yake na kukwamisha shughuli na uhusiano wake wa kibiashara na Tehran.
-
UNICEF: Usitishaji vita Gaza ni fursa muhimu ya kukidhi mahitaji ya watoto
Oct 27, 2025 23:44Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaweza kuwa "fursa muhimu" ya kulinda maisha, utu na mahitaji muhimu ya watoto milioni moja wa Kipalestina.
-
Umoja wa Mataifa wataka njia salama kwa raia waliokwama el-Fasher, Sudan
Oct 27, 2025 23:44Umoja wa Mataifa umezitolea mwito pande zinazopigana nchini Sudan kuhakikisha raia waliokwama katika mji wa el-Fasher wanapatiwa njia salama ya kuondoka, baada ya wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces (RSF) kutangaza kuwa wametwaa udhibiti wa kambi kuu ya jeshi katika mji huo.
-
Paul Biya (92) atangazwa mshindi wa kiti cha urais Cameroon
Oct 27, 2025 23:43Baraza la katiba la Cameroon limemtangaza Rais aliyeko madarakani Paul Biya kuwa mshindi wa kiti cha urais kwa karibu asilimia 54% ya kura.
-
Malengo ya mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Lebanon
Oct 27, 2025 22:52Mashambulizi ya jeshi la Israel kwa kushirikiana na Marekani dhidi ya Lebanon yameingia katika awamu mpya.
-
Iran: UN isipendelee upande wowote, ikabiliane na ukiukwaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na Marekani na Israel
Oct 27, 2025 08:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka Umoja wa Mataifa kuwakilisha kwa dhati haki za mataifa yote, huku akilaani uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran na msimamo wa kupendelea upande mmoja wa Baraza la Usalama la umoja huo.
-
Mpinzani mkuu Ivory Coast akubali kushindwa huku matokeo ya awali yakionyesha rais Ouattara anashinda
Oct 27, 2025 08:46Waziri wa zamani wa biashara wa Ivory Coast, Jean-Louis Billon, amekubali kushindwa na Rais aliyepo madarakani, Alassane Ouattara, katika uchaguzi wa urais wa taifa hilo, kufuatia matokeo ya awali yanayoonyesha Ouattara akiongoza katika kura zilizohesabiwa.
-
Marekani yamkamata mwandishi muunga mkono Palestina Sami Hamdi
Oct 27, 2025 08:45Mwandishi wa habari raia wa Uingereza anayejulikana kwa kuunga mkono Palestina amekamatwa nchini Marekani na shirika la Uhamiaji na Forodha (ICE), kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi yanayoiunga mkono Israel.
-
Shirika la Kitaifa la Vipaji la Iran lawatunuku washindi 17 wa medali za Olimpiadi za Sayansi
Oct 27, 2025 08:44Shirika la Kitaifa la Vipaji la Iran (INEF) limeandaa hafla maalum ya kuwatunuku wanafunzi 17 wenye vipaji na vijana waliotwaa medali za dhahabu, fedha na shaba katika mashindano ya kimataifa ya Olimpiadi za Sayansi katika nyanja za Akili Mnemba (AI), Astronomia na Fizikia ya Anga, Uchumi, na Sayansi ya Kompyuta.
-
Velayati: Iran, Russia na China zina mchango madhubuti katika kuunda mfumo mpya wa dunia
Oct 27, 2025 08:43Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Dkt. Ali Akbar Velayati, amesema kuwa Iran, China na Russia, kama mataifa matatu huru yenye nguvu barani Asia, yana nafasi muhimu katika kuunda mfumo mpya wa dunia.