-
Wanamgambo wa RSF waushambulia Uwanja wa Ndege wa Khartoum kwa siku ya tatu mtawalia
Oct 23, 2025 07:32Wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) leo wamefanya wimbi la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (droni) katika Uwanja wa Ndege wa Khartoum kwa siku ya tatu mtawalia.
-
Kwa nini Marekani inashinikiza kupokonywa silaha makundi ya muqawama ya Iraq?
Oct 23, 2025 04:23Tommy Piggott, Naibu Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema siku ya Jumanne kwamba Marco Rubio Waziri wa Mambo ya Nje, katika mazungumzo yake na Mohammad Shia Al-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq, ametoa wito wa kupokonywa silaha makundi ya muqawama ya nchi hiyo akidai kuwa ni tishio kwa maslahi ya Washington na Baghdad.
-
Ripota Maalumu wa UN atoa ripoti mpya kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Oct 23, 2025 02:51Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ametoa ripoti yake mpya kuhusu mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni Israel katika Ukanda wa Gaza, na kutoa maelezo ya kina kuhusu ushiriki wa kimataifa katika ukatili wa Tel Aviv.
-
Maduro atishia kuvurumusha maelfu ya makombora ya Igla-S kukabiliana na vitisho vya Marekani
Oct 23, 2025 02:50Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ametangaza kuwa nchi yake inamiliki makombora 5,000 ya kutungulia ndege yaliyotengenezwa Russia ili kukabiliana na vitisho vya jeshi la Marekani na vikosi vyake vilivyotumwa katika visiwa vya Caribbean.
-
Shakhsia mashuhuri wa Kiyahudi duniani waihimiza UN, viongozi wa dunia kuiwekea vikwazo Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza
Oct 23, 2025 02:50Zaidi ya shakhsia 450 wa Kiyahudi kutoka duniani kote wametoa wito kwa Umoja wa Mataifa na viongozi wa kimataifa kuuwekea vikwazo utawala wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari "yasiyokubalika" katika Ukanda wa Gaza.
-
Jiji la Nairobi katika hatari ya kusombwa na mafuriko
Oct 23, 2025 02:49Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini Kenya imetoa onyo la mvua kubwa, katika maeneo kadhaa ya nchi, huku jiji la Nairobi likitajwa kuwa miongoni mwa maeneo yaliyo katika hatari kubwa ya kusombwa na mafuriko.
-
Wahamiaji karibu 40 wapoteza maisha baada ya boti kupinduka katika pwani ya Tunisia
Oct 23, 2025 02:15Afisa mmoja wa serikali ya Tunisia amesema kuwa takriban wahamiaji 40 kutoka Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara wamefariki dunia baada ya mashua yao kupinduka katika pwani ya Tunisia jana Jumatano, katika mojawapo ya ajali mbaya zaidi za meli katika eneo hilo katika mwaka huu.
-
Iran: Mashirika 50 ya kijasusi yaliisaidia Israel katika Vita vya Siku 12 dhidi yetu
Oct 22, 2025 23:41Waziri wa Usalama wa Taifa wa Iran amesema: Katika vita vilivyoanzishwa na Marekani na Israel mwezi Juni mwaka huu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, adui alipanga kuzusha uvunjifu mkubwa wa amani nchini Iran na alijaribu kutumia magaidi wake wote wakufurushiaji walioachiwa huru huko Syria na Afghanistan kwa ajili ya kuvuruga usalama wa Iran ya Kiislamu lakini alishindwa. Mashirika 50 ya kijasusi yaliisaidia Israel lakini pia yalishindwa.
-
Iran: Hatutarudi kwenye meza ya mazungumzo hadi Marekani iachane na sera zake za kupenda makuu
Oct 22, 2025 23:11Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sharti la kurejea Iran katika meza ya mazungumzo ni Wamarekani kuacha siasa zao za kijuba na za kupenda makuu.
-
Lazzarini: Kujenga upya shule za Gaza ndio kipaumbele
Oct 22, 2025 23:10Philippe Lazzarini, Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), amesema kuwa, kurejesha haki ya elimu kwa watoto wa Gaza ni jambo la dharura na muhimu zaidi baada ya kusitishwa mapigano.