-
Balozi wa Iran aiasa Kenya kuchukua hatua 'sakata la chai'
Feb 18, 2026 03:53Mwanadiplomasia wa Iran imeiomba serikali ya Kenya kuchukua hatua na kulipatia ufumbuzi sakata la chai la thamani ya Shilingi bilioni 2.6 za nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Nchi 80 zalaani mpango wa Israel wa kughusubu Ukingo wa Magharibi
Feb 18, 2026 02:55Zaidi ya nchi 80 wanachama wa Umoja wa Mataifa zimelaani mpango wa Israel wa kupora na kuyakalia kwa mabavu maeneo kadhaa ya ardhi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu, na kuyatambua maeneo hayo ya Palestina kama "milki ya serikali" ya Israel.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Feb 18, 2026 02:54Baadhi ya nchi za Waislamu na Kiarabu zimetangaza leo Jumatano kuwa siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Iran yamuita balozi wa Ujerumani kulalamikia 'uadui' wa Berlin
Feb 18, 2026 02:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Ujerumani hapa mjini Tehran kulalamikia misimamo na hatua za hivi karibuni za uadui zilizochukuliwa na mamlaka za Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kremlin: Jeshi la majini la Russia kuzima 'uharamia' wa Magharibi
Feb 18, 2026 02:54Afisa mwandamizi wa Ikulu ya Russia (Kremlin) ameonya kwamba, yumkini jeshi la wanamaji la nchi hiyo likatumwa kuzuia mataifa ya Magharibi kukamata meli za Urusi kama sehemu ya vikwazo dhidi ya usafirishaji wa mafuta ya Moscow.
-
Mazeozi ya kijeshi ya IRGC Ghuba ya Uajemi, nembo ya uwezo wa kujilinda na wa kistratijia wa Iran
Feb 17, 2026 23:51Awamu ya kwanza ya mazoezi ya Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imefanyika katika visiwa vya Iran kwenye maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Rais Pezeshkian: Iran haitaki silaha za nyuklia
Feb 17, 2026 23:35Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza tena kuwa nchi hii haitaki kumiliki silaha za nyuklia kwa aina yoyote ile.
-
Wataalamu wa UN waonya kuhusu hatari zinazowakabili waathirika wa "Mafaili ya Epstein"
Feb 17, 2026 23:35Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema, wana wasiwasi mkubwa kuhusu madhara yanayoweza kuwapata waathirika waliotajwa katika nyaraka zinazojulikana kama "Mafaili ya Epstein" (Epstein Files), na kueleza kwamba mchakato wa utoaji wa taarifa hizo haukulinda ipasavyo faragha na usalama wao.
-
Katika hotuba ya kuaga, Yunus asema kupinduliwa Hasina ulikuwa ukombozi kwa Bangladesh
Feb 17, 2026 23:34Kiongozi wa mpito wa Bangladesh Muhammad Yunus, ametangaza kujiuzulu katika hotuba ya kuaga kwa taifa aliyotoa kabla ya kukabidhi mamlaka kwa serikali iliyochaguliwa.
-
Israel yashadidisha mateso kwa Wapalestina inaowashikilia kwenye magereza yake
Feb 17, 2026 23:33Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa, kwa mujibu wa ziara za ukaguzi zilizofanywa na wanasheria wake na ushuhuda uliorekodiwa, utawala wa kizayuni wa Israel umeshadidisha udhalilishaji na ushinikizaji wa kimfumo dhidi ya wafungwa Wapalestina unaowashikilia katika magereza yake ya kuogofya.