-
Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi
Jun 29, 2026 12:29Kamanda wa Jeshi la Iran amesema Jamhuri ya Kislamu imepata mafanikio endelevu katika teknolojia ya ulinzi wa ndege zisizo na rubani na anga licha ya madai ya uhasama ya vyombo vya habari.
-
Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
Jun 29, 2026 12:27Iran na Oman zimefanya mkutano wa kwanza wa kamati mpya ya pamoja ya Hormuz, unaojadili usimamizi wa baadaye wa Lango-Bahari la Hormuz.
-
Wakenya wapinga sheria za ukaguzi wa magari, wataka zikomeshwe
Jun 29, 2026 12:15Mpango wa serikali ya Kenya wa kulazimisha magari ya kibinafsi kufanyiwa ukaguzi kila mwaka umezua hisia kali miongoni mwa umma, huku waendeshaji magari na viongozi wa upinzani wakitaka ukomeshwe na kuishutumu serikali kwa kuwatwika mzigo mwingine Wakenya wanaopambana na hali ngumu ya maisha.
-
Spika wa Bunge la Lebanon apinga makubaliano na Israel akisema 'ni ya kutwishwa'
Jun 29, 2026 12:12Spika wa Bunge la Lebanon, Nabih Berri, amekosoa vikali makubaliano yaliyosainiwa Washington kati ya Lebanon na utawala wa Israel, akiyataja kuwa ni seti ya maagizo ya kutwishwa badala ya kuwa makubaliano yanayolinda haki za nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ripoti ya HRW: Pande zinazopigana Mali zinahusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
Jun 29, 2026 12:10Pande zinazopigana nchini Mali zinahusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW).
-
Kwa nini Hizbullah inapinga makubaliano ya serikali ya Lebanon na Israel?
Jun 29, 2026 09:05Sheikh Naim Qassim, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, na baadhi ya wabunge wa Hizbullah wamekosoa na kupinga vikali mazungumzo yanayodaiwa kufikiwa kati ya serikali ya Lebanon na utawala haramu wa Israel.
-
Sardasht; Jeraha Lisilosahaulika Duniani
Jun 29, 2026 07:49Julai 28, 1987, imewekwa alama katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama kumbukumbu ya moja ya jinai za kivita za kutisha dhidi ya ubinadamu. Siku hii, inakumbushia shambulio la kikatili la mabomu ya kemikali katika mji wa Sardasht lililofanywa na utawala wa Baath wa Iraq; jinai ambayo ilitekelezwa kwa uungaji mkono na kimya cha aibu cha madola ya Magharibi.
-
Araghchi: Jukumu la kupanga na kusimamia shughuli Mlango-Bahari wa Hormuz ni la Iran
Jun 29, 2026 03:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa jukumu la kupanga na kusimamia shughuli katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni la Iran pekee, akisisitiza kwamba hakuna taasisi wala nchi nyingine yenye mamlaka au wajibu katika suala hilo.
-
Taasisi ya Hind Rajab yawasilisha mashtaka Wizara ya Sheria ya Marekani dhidi ya Ben-Gvir
Jun 29, 2026 03:40Taasisi ya Hind Rajab (HRF) imewasilisha malalamiko kwa Wizara ya Sheria ya Marekani (DoJ), ikitaka kukamatwa na kushtakiwa anayeitwa waziri wa usalama wa taifa wa utawala wa Israel, Itamar Ben-Gvir kwa tuhuma za kutenda jinai.
-
Ripoti: Gaza inatafuta maiti 8,500 za mauaji ya kimbari ya Israel chini ya vifusi kwa kutumia chombo kimoja
Jun 29, 2026 03:34Ripoti kutoka Ukanda wa Gaza zinasema kuwa chombo kimoja cha kuchimba vifusi (excavator) tu kinatumiwa kutafuta karibu miili ya watu 8,500 na mabaki yaliyo chini ya vifusi vya nyumba zilizoharibiwa na jeshi la Israel wakati wa vita vya mauaji ya kimbari katika eneo hilo.