-
Wanaharakati waliotoweka Kenya katika maandamano ya Gen Z wapatikana wakiwa wameteswa
Jun 28, 2026 14:07Wanaharakati watano waliotoweka baada ya kukamatwa katika maandamano ya kumbukumbu ya Gen Z ya Juni 25, wamepatikana wakiwa na majeraha na sasa wanapewa matibabu katika Hospitali ya Nairobi Women’s.
-
Katika ujumbe wa Wiki ya Mahakama, Kiongozi aamuru kufuatiliwa kisheria uhalifu wa kivita wa Marekani na Israel dhidi ya Iran
Jun 28, 2026 13:02Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei ametoa wito kwa Mahakama ya Iran kufuatilia na kurejesha haki za taifa ambazo zimekiukwa kutokana na vita vya uchokozi vya Marekani na Israel tangu mwaka jana.
-
Baqaei: Msaada wa kiufundi na uungaji mkono kwa mvamizi ni sawa na kushiriki katika uvamizi
Jun 28, 2026 09:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utoaji wa huduma za "kiufundi na msaada" kwa pande zinazoshambulia nchi nyingine ni kushiriki moja kwa moja na waziwazi katika kupigana vita haramu vya hiari na ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa.
-
Gharibabadi: Sardasht, mhanga wa mabomu ya kemikali na undumakuwili wa Magharibi
Jun 28, 2026 09:52Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa amesisitiza kuwa, Tehran itafuatilia kwa uzito jukumu la wahusika wa uhalifu wa mashambulio ya mabomu ya kemikali yaliyofanywa na utawala wa zamani wa Iraq.
-
Maandamano ya kupinga ukiukaji wa usitishaji vita Gaza yafanyika nchini Sweden
Jun 28, 2026 09:47Maandamano makubwa ya kupinga ukiukaji wa usitishaji vita Gaza yamefanyika nchini Sweden yakilaani pia jinai za Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Mkuu wa Majeshi ya Uganda aamuru kufungwa NTV Uganda na vyombo vingine vya habari
Jun 28, 2026 09:12Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametoa amri ya kufungwa televisheni ya NTV na vyombo vingine vya habari.
-
Jeshi la Iran lalenga vituo vya jeshi la Marekani kujibu uchokozi
Jun 28, 2026 04:34Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeendesha oparesheni kubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya vituo nane vya kijeshi vya Marekani katika kanda hii, likiitaja hatua hiyo kuwa “jibu madhubuti” dhidi ya uchokozi mpya wa Marekani kwenye ardhi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
DRC yaishtaki Rwanda ICJ kwa tuhuma za unyanyasaji
Jun 28, 2026 04:32Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiituhumu nchi hiyo jirani kwa vitendo vya ukatili katika eneo lenye utajiri wa madini la mashariki mwa DRC.
-
Volker Turk aonya kuongezeka vifo vya wahamiaji katika utawala wa Trump
Jun 28, 2026 04:30Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk imetoa taarifa na kuonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko kubwa la vifo vya wahamiaji vinavyotokea katika vituo vya kuwazuilia wahamiaji nchini Marekani wakati wa muhula wa pili wa utawala wa Donald Trump, na ametaka kufanyika uchunguzi huru kuhusu suala hilo.
-
Meja Jenerali Rezaei: Kama adui ataanzisha vita vingine, atapata maafa na hasara kubwa
Jun 28, 2026 04:29Kamanda wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, "Iwapo adui atafanya kosa na kuanzisha vita vipya, vita hivyo havitakuwa tena kama vita vya tatu vya kulazimishwa, bali vitasababisha hasara na maafa makubwa ya kibinadamu.