-
Timu ya taifa ya karate ya wanawake ya Iran yatwaa ubingwa wa Asia
Jun 22, 2026 04:33Timu ya taifa ya karate ya wanawake ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa bara la Asia katika mchezo huo.
-
CENCO yapinga kufanyika kwa mageuzi ya katiba DRC
Jun 22, 2026 04:29Muungano maaskofu wa kanisa Katoliki (CENCO) umepinga mapendekezo ya kuifanyia marekebisho katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Kwa nini Israel haina uwezo wa kuilazimisha Hizbullah ijisalimishe?
Jun 21, 2026 12:42Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema, maadui walijaribu kuandaa mazingira ya kuuangamiza muqawama kwa kutumia vibaya serikali ya Lebanon na kuunda mwavuli haramu wa kisheria, lakini pamoja na hayo si tu kwamba adui wa Kizayuni alishindwa kuilazimisha Hizbullah ijisalimishe, bali pia inaendelea kupipigania ushindi wa mwisho.
-
Iran yasema mazungumzo na Marekani yanahusu kutotekelezwa kwa kifungu cha kwanza cha makubaliano
Jun 21, 2026 11:26Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa mazungumzo yaliyopangwa kufanyika na Marekani yatalenga suala la kutotekelezwa kwa kifungu cha kwanza cha Waraka wa Makubaliano (MoU) uliosainiwa hivi karibuni kati ya nchi hizo mbili.
-
Mshauri wa Kiongozi aonya dhidi ya matumaini kupita kiasi kuhusu mazungumzo na “adui anayevunja ahadi”
Jun 21, 2026 11:24Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonya dhidi ya kuwa na matumaini kupita kiasi kuhusu mazungumzo na adui, akitaja historia yake ya kuvunja ahadi.
-
Imamu ashambuliwa nje ya msikiti nchini Kanada huku chuki dhidi ya Uislamu ikiongezeka
Jun 21, 2026 11:22Imamu wa Msikiti wa Jumuiya ya Waislamu wa British Columbia (BCMA), Sheikh Ebrahim, ameshambuliwa katika tukio linalohusishwa na chuki dhidi ya Uislamu.
-
Walebanon waipongeza Iran kwa kuunga mkono kukomeshwa hujuma ya vita ya Israel dhidi ya Lebanon
Jun 21, 2026 11:21Mabango yanayoonyesha shukrani kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamesimikwa kando ya barabara kuu inayoelekea uwanja wa ndege wa Beirut, yakionyesha shukrani za dhati kwa msimamo wa Iran wa kutaka kukomeshwa kikamilifu uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon, kama ilivyotajwa katika waraka wa makubaliano (MoU) uliosainiwa hivi karibuni kati ya Iran na Marekani.
-
UN: Yamkini waasi wa RSF wanatekeleza mauaji ya halaiki mjini El Obeid, Sudan
Jun 21, 2026 11:18Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu taarifa za kuongezeka kwa wapiganaji wa kundi la waasi la RSF, ambao wameuzingira mji wa El Obeid nchini Sudan.
-
Spika wa Bunge la Iran aapa kuwa mwaminifu kwa mashahidi baada ya kuwasili Uswisi kwa mazungumzo na US
Jun 21, 2026 04:41Spika wa Bunge la Iran amesisitiza tena kwamba atatetea haki za Wairani waliouawa shahidi wakati wa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu baada ya kuwasili Uswisi kufuatilia mkataba wa Hati ya Maelewano uliosainiwa na viongozi wa nchi mbili kwa lengo la kukomesha vita.
-
Baada ya karne nyingi za utumwa, Afrika yafungua faili la fidia na kudai haki ya kihistoria
Jun 21, 2026 04:38Karne nyingi baada ya kumalizika biashara ya utumwa ya kuvuka Atlantiki, moja ya masuala nyeti zaidi ya kihistoria yameibuka tena katika mji mkuu wa Ghana, Accra, ambapo Mkutano wa Dunia kuhusu Fidia ya Utumwa na Haki ya Kihistoria ulihitimishwa jana, huku Afrika ikitaka kuwepo mfumo wa vitendo wa kufidia jamii ambazo bado zinateseka kutokana na athari mbaya za enzi hizo.