-
Wananchi wa Uganda walalamikia kutoona matunda yoyote ya Uhuru + SAUTI
Dec 29, 2021 08:51Tangu mkoloni Muingereza aondoke Uganda miaka 59 iliyopita raia wa nchi hiyo hawajaona faida yoyote katika maisha yao ya kila siku
-
Kamanda wa ngazi za juu wa wavamizi wa Yemen aangamizwa kusini mwa Ma'rib + Video
Dec 14, 2021 03:23Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa, Meja Jenerali Nasser al Dhaibani, kamanda wa ngazi za juu zaidi wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ameangamizwa katika mapigano ya kusini mwa mkoa wa Ma'rib nchini Yemen.
-
Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti
Dec 13, 2021 16:50Jumapili ya jana ya Disemba 12, 2021, Wakenya waliadhimisha siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Muingereza.
-
Miripuko miwili Uganda, watu wawili wauawa, Bunge lafungwa, wabunge watakiwa kubaki nyumbani + Sauti
Nov 16, 2021 10:12Mabomu mawili yaliyoripuka leo Jumanne Novemba 16, 2021 katika mji mkuu wa Uganda, Kampala yamepelekea kufungwa bunge la nchi hiyo mbali na kuuawa watu wawili.
-
Umuhimu na ujumbe wa luteka ya Dhulfiqar 1400 + Video
Nov 09, 2021 02:23Luteka ya pamoja ya Dhulfiqar 1400 ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilianza siku ya Jumapili kwa jina takatifu la 'Ya Rasulullah (saw).'
-
Wanajeshi Wazayuni wavamia Maulid ya Mtume SAW mjini Baitul Muqaddas, Palestina + Video
Oct 20, 2021 07:24Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW huko Baitul Muqaddas, Palestina na kujeruhi Waislamu kadhaa.
-
Video ya Biden bila ya barakoa akitoka mgahawani yazusha zogo Marekani
Oct 19, 2021 02:30Video iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii inayomuonesha Rais Joe Biden wa Marekani na mkewe, wakiondoka kwenye mgahawa katika mji mkuu, Washington DC bila ya kuvaa barakoa, imezusha zogo na mjadala mkubwa nchini Marekani.
-
Makampuni ya watalii Zanzibar yatakiwa kuchunga hulka za Kizanzibari + Sauti
Sep 15, 2021 04:27Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema kuwa, jukumu la kusimamia maadili na utamaduni wa Kizanzibari kwa wageni wanaotembelea visiwa hivyo linazihusu kampuni zinazoandaa misafara ya watalii wanaongia visiwani humo. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati zafikia makubaliano ya kilimo + Sauti
Sep 15, 2021 04:24Nchi za Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zimekubaliana kuunda tume maalumu itakayoratibu ushirikiano wa mataifa hayo mawili katika sekta ya kilimo na biashara,. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali
-
Rais wa Zanzibar ahutubia Baraza la Idul Adh'ha, Wete Pemba + Sauti
Jul 21, 2021 16:06Baraza la Idul Adh'ha mwaka huu visiwani Zanzibar, limefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la mjini Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba. Rais Hassan Ali Hassan Mwinyi amehutubia baraza hilo. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit ametutayarishia ripoti ifuatayo.