-
Uganda yaanzisha kampeni mpya ya kupambana na magonjwa hatari + SAUTI
Jan 19, 2019 14:48Serikali ya Uganda kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeanzisha upya kampeni ya kupambana na magonjwa kadhaa hatari ambayo yamezuka tena nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi...
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, Waislamu Tanzania walaani hatua ya kuvunjwa msikiti wa Chuo Kikuu Dodoma/ Waislamu Kenya walaani ugaidi
Jan 18, 2019 13:12Wanaharakati na watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania wamelaani vikali kitendo cha Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Dodoma, Petter Msoffe kusimamisha ujenzi wa msikiti chuoni hapo na kukitaja kitendo hicho kuwa kinakiuka haki ya binaadamu na uhuru wa kuabudu.
-
SAUTI, Burundi: Tutahudhuria mkutano wa EAC na tutautumia mkutano huo kuishitaki Rwanda
Jan 17, 2019 13:45Serikali ya Burundi imetangaza kwamba itahudhuria mkutano wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao.
-
Jumuiya ya Waislamu Duniani: Burundi ni kiigizo chema+SAUTI
Jan 15, 2019 12:35Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Duniani yuko safarini nchini Burundi ambapo amehudhuria hii leo mkutano wa kusisitizia haja ya kutumiwa tofauti za kidini na kikabila kuimarisha utangamano.
-
Vijana wa NRM wazozana tena na Polisi nchini Uganda + Sauti
Jan 14, 2019 23:11Kwa mara nyingine tena, vijana wa chama tawala cha NRM nchini Uganda wamezozana na polisi wa nchi hiyo wakipinga ubeberu wa mkoloni Muingereza. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail...
-
Jeshi la Iran: Ndege iliyoanguka mapema leo nje ya Tehran ilikuwa ya mizigo + Video
Jan 14, 2019 04:53Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa kuhusu ajali ya ndege iliyotokea mapema leo asubuhi karibu ya mji wa Karaj nje ya Tehran na kusema kuwa, ndege hiyo aina ya Boing 707 ilikuwa ya mizigo na ilikuwa ikitokea Bishkek Kyrgyzstan.
-
Iran yapata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia + Video
Jan 13, 2019 12:57Mkuu wa Shirika la Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ali Akbar Salehi amesema nchi yake imeweza kupata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia kwa kuchukua hatua za awali za kutegeneza asilimia 20 ya fueli ya nyuklia.
-
SAUTI, Wakongomani waendelea kushangazwa na ushindi wa Felix Tshisekedi licha ya kwamba ni mpinzani
Jan 12, 2019 13:52Hali ya suitafahamu imeendelea kutawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia kutangazwa Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliopita.
-
Wazanzibar waadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi, Rais Shein aelezea mafanikio katika maeneo tofauti + Sauti
Jan 12, 2019 12:44Jumamosi ya leo Wazanzibar wamesherehekea kumbukumbu ya mapinduzi yaliyofanyika hapo mwaka 1964.
-
SAUTI, Matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa Kongo DR yaibua hali mseto kati ya Wakongomani, Fayulu kwenda mahakamani
Jan 10, 2019 13:47Kumekuwa na hali mseto baada ya Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumtangaza Felix Tshisekedi wa upinzani kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliopita.