-
Nakala adimu ya Qur’ani katika Msikiti wa Al-Aqsa, iliandikwa na mjukuu wa Mtume
Apr 12, 2025 22:52Jumba la Makumbusho ya Kiislamu katika Msikiti wa Al-Aqsa, Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, lina idadi ya vitabu adimu, ikiwa ni pamoja na nakala ya kipekee ya Qur’ani iliyoandikwa kwa hati za Kufi, ambayo mwisho wake inaeleza kuwa iliandikwa na Al-Hasan bin Al-Hussen bin Ali bin Abi Talib (as), mjukuu wa Mtume Muhammad, (saw).
-
UN: Wapalestina 400,000 Gaza wamefurushwa makwao ndani ya wiki 3
Apr 12, 2025 08:10Takwimu mpya za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa, idadi kubwa ya Wapalestina wamelazimika kuyahama makazi yao katika Ukanda wa Gaza tangu utawala haramu wa Israel uanzishe mashambulizi mapya baada ya kuvunja makubaliano ya usitishaji vita zaidi ya wiki tatu zilizopita.
-
Kwa mara nyingine Yemen yayatwanga maeneo ya jeshi la Israel huko Jaffa
Apr 12, 2025 03:11Jeshi la Yemen (YAF) limetangaza habari ya kufanya operesheni nyingine ya ndege zisizo na rubani na kutwanga maeneo mawili ya jeshi la Israel katika eneo Jaffa karibu na Tel Aviv na kusema kuwa hayo ni majibu ya moja kwa moja ya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina huko Ghaza.
-
UN: Mashambulio 36 ya Israel Ghaza kati ya Machi 18 hadi Aprili 9 yameua wanawake na watoto tu
Apr 11, 2025 23:38Umoja wa Mataifa umesema wanawake na watoto wa Kipalestina ndio pekee waliouawa katika mashambulizi yapatayo 36 ya anga yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza tangu katikati ya mwezi Machi na kuonya kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Israel yanahatarisha "kuendelea kuwepo Wapalestina kama jamii".
-
Mamilioni waandamana Yemen kuunga mkono Ghaza
Apr 11, 2025 07:28Mamilioni ya wananchi wa Yemen wamemiminika mitaani katika mkoa wa Sa'ada leo Ijumaa na kufurika katika viwanja 35 vya mkoa huo wa kaskazini ya Yemen chini ya kaulimbiu ya "Jihadi, Uthabiti na Ushujaa... Hatutaiacha peke yake Ghaza."
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina yapongeza uamuzi wa Macron kuitambua rasmi Palestina
Apr 11, 2025 04:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imekaribisha msimamo uliotangazwa na Rais wa Ufaransa kuhusu uwezekano wa nchi hiyo kulitambua rasmi Taifa la Palestina katika miezi ijayo.
-
Kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Apr 10, 2025 22:40Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa Gaza imekuwa machinjioni, na zaidi ya mwezi mmoja sasa hakuna msaada wowote uliopelekwa eneo hilo na kwamba wakazi wa Gaza hawana mafuta, dawa na bidhaa nyingine zinazohitajika.
-
Mgawanyiko katika jeshi la Israel huku mashambulio dhidi ya Gaza yakiendelea
Apr 10, 2025 22:33Kundi la askari wa akiba wa jeshi la anga la Israel limefukuzwa kazi baada ya kutia saini waraka wa kutaka kusitishwa vita dhidi ya Gaza na kurejeshwa kwa mateka wa utawala huo haramu.
-
Maariv: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza
Apr 10, 2025 08:09Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kuwa, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kuanza vita na mshambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukanda wa Gaza, harakati ya Hamas bado inadhibiti eneo hilo na utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake.
-
Ansarullah yaitahadharisha Marekani kuhusu vita vya nchi kavu dhidi ya Yemen
Apr 10, 2025 07:57Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Ansarullh ya Yemen amelaani mashamulizi ya anga ya Marekani nchini humo na kutahadharisha kuhusu hatua yoyote ya kijeshi ya nchi kavu ya Washington dhidi ya Yemen.