-
Hizbullah: Tumeua na kujeruhi askari 2,000 wa Israel katika operesheni 1,650 tangu vilipoanza vita vya Ghaza
Apr 25, 2024 08:46Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesema imeua na kujeruhi zaidi ya wanajeshi 2,000 wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika operesheni zake 1,650 ilizotekeleza katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu tangu kuanza kwa vita vya mauaji ya kimbari vya utawala huo katika Ukanda wa Ghaza.
-
Afrika Kusini yataka uchunguzi wa haraka kuhusu makaburi ya halaiki Ukanda wa Gaza
Apr 25, 2024 04:02Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Afrika Kusini imetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu makaburi ya umati yaliyogunduliwa katika Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano dhidi ya Netanyahu yageuka kuwa ya ghasia
Apr 25, 2024 03:57Maandamano ya kupinga baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu huko Tel Aviv yageuka kuwa ya ghasia na vurugu kali.
-
Idadi ya Wazayuni wanaoomba misaada ya kisaikolojia yaongezeka
Apr 25, 2024 02:36Televisheni ya utawala wa Kizayuni imetangaza ongezeko la mara nne la maombi ya yanayotolewa na Wazayuni kwa ajili ya kupata misaada ya kisaikolojia kufuatia operesheni ya Iran ya Ahadi ya Kweli ya kuuadhibu utawala huo.
-
Jeshi la Israel laendeleza mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Apr 24, 2024 23:14Jeshi la utawala ghasibu wa Israel limeua raia zaidi Wapalestina huku likiendeleza vita vyake vya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza
-
UN: Ufanyike uchunguzi kuhusu makaburi ya halaiki huko Gaza + Video
Apr 24, 2024 04:42Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu makaburi ya umati yaliyogunduliwa katika hospitali kuu mbili za Ukanda wa Gaza.
-
Mmarekani ambaye hana uraia wa Israel akiri kuua watu katika vita huko Gaza
Apr 24, 2024 04:10Sami Benn, Myahudi raia wa Marekani, amekiri kwamba umeshiriki katika vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kwa muda wa miezi miwili na kuua Wapalestina, bega kwa bega na jeshi la Israel.
-
Kwa mara ya kwanza, Hizbullah yashambulia ndani kabisa ya ngome za Wazayuni tangu vilipoanza vita vya Ghaza
Apr 23, 2024 23:14Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani dhidi ya vituo viwili vya kiejshi vya utawala wa Kizayuni wa Israel kulipiza kisasi cha mauaji ya wapiganaji wake wawili.
-
UN yatoa onyo kali kuhusu madhara ya vita kwa afya na akili za watu wa Gaza
Apr 23, 2024 05:02Umoja wa Mataifa (UN) umetahadharisha na kutoa onyo kali kabisa kuhusu madhara ya vita kwa afya na akili ya wakaazi wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al-Aqsa kutekeleza ibada za Pasaka
Apr 23, 2024 04:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) siku ya Jumatatu chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel ambao unakalia eneo hilo kwa mabavu.