-
Afisa mkuu wa Hizbullah; Israel ni mwoga na dhaifu mno kuweza kushinda mashambulizi ya nchi kavu huko Gaza
Oct 29, 2023 02:52Jeshi la Israel halina ujasiri na uwezo wa kupambana na kukabiliana na Hamas na vikosi vingine vya mapambano ya ukombozi huko Gaza kama Tel Aviv itaamua kufanya uvamizi wa ardhini katika eneo hilo linaozingirwa. Hayo yamesemwa na kiongozi wa ngazi ya juu wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah.
-
Kukaribisha HAMAS azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Oct 29, 2023 02:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekaribisha azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Gaza na kutangaza kuwa inataka Baraza Kuu la umoja huo na taasisi zingine husika za kimataifa kutekeleza hatua za lazima kwa ajili ya utekelezaji wa haraka wa azimio hilo ili vivuko vya Gaza vifunguliea tena na hivyo kuruhusu nishati ya mafuta na misaada ya haraka ya kibinadamu iwafikie watu wa eneo hilo.
-
Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza
Oct 28, 2023 23:30Jarida la Marekani linalohusika na masuala ya kijeshi limefichua kuwa vikosi maalumu vya nchi hiyo vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza.
-
Mauaji ya makusudi ya raia wa Gaza bado ni shabaha rahisi kwa Netanyahu na genge lake
Oct 28, 2023 23:29Tukiwa katika siku ya 22 ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza, kuna mambo kadhaa ya kuzingatiwa. Kwanza ni kwamba, shambulio la nchi kavu la utawala wa Kizayuni huko Gaza ambalo limeanzishwa kutoka pande tatu limeshindwa, na jeshi la utawala huo limeshindwa kusonga mbele.
-
Palestina: 70% ya waliouliwa shahidi Gaza ni wanawake, watoto na wazee; maelfu wako chini ya vifusi
Oct 28, 2023 11:31Waziri wa Afya wa Palestina amesema, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni mbaya sana na amebainisha kuwa, asilimia 70 ya waliouliwa shahidi ni wanawake, watoto na wazee; na kwamba mbali na maelfu ya waliouawa na kujeruhiwa, kuna maelfu ya Wapalestina wengine ambao wangali wako chini ya vifusi.
-
Wapalestina 100 wameuawa shahidi katika hujuma mpya ya Israel huko Ghaza
Oct 28, 2023 04:03Sambamba na kuanza operesheni ndogo ya nchi kavu ya jeshi katili la utawala haramu Israel kwa lengo la kujipenyeza Ghaza usiku wa kuamkia leo, zaidi ya raia 100 Wapalestina wameuawa shahidi huku utawala huo ukilaaniwa kote duniani kwa kutekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Rais wa Brazil: Israel inatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina Ghaza
Oct 28, 2023 00:25Rais Luiz Inacia Lula da Silva wa Brazil amelaani vikali vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na kusema utawala huo unatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Hamas: Viongozi wetu wapo majumbani mwao, na si mahospitalini
Oct 28, 2023 00:24Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema madai ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa harakati hiyo wapo katika njia za chini ya ardhi ya hospitali ya Al -Shifa katika Ukanda wa Ghaza ni ya upotoshaji.
-
Atwan: Wanamuqawama wa Ghaza wameigeuza historia juu chini kwa utawala wa ghasibu
Oct 28, 2023 00:24Mhariri wa gazeti la Rai al Yaum amesema kuwa kinyume na dhana ya viongozi wa utawala ghasibu unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu, wanamapambano huko Ukanda wa Ghaza wameugeuza mwenendo wa historia kwa utawala huo.
-
Wanamuqawama wa Iraq waishambulia kwa droni kambi ya Marekani ya Ain al Asad
Oct 27, 2023 10:39Kundi jina la Mujahidina wa Muqawama wa Kiislamu wa Iraq wameshambulia kwa ndege isiyo na rubani (droni) mahali walipo vikosi vamizi vya Marekani katika kambi ya Ain al Asad huko Iraq.