-
Wanamuqawama wa Iraq waishambulia kwa droni kambi ya Marekani ya Ain al Asad
Oct 27, 2023 10:39Kundi jina la Mujahidina wa Muqawama wa Kiislamu wa Iraq wameshambulia kwa ndege isiyo na rubani (droni) mahali walipo vikosi vamizi vya Marekani katika kambi ya Ain al Asad huko Iraq.
-
Medvedev aitahadharisha Israel kuhusu taathira za umwagaji damu katika oparesheni ya ardhini Ghaza
Oct 27, 2023 10:06Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.
-
Qatar yasikitishwa na utendaji kazi wa Baraza la Usalama huko Ghaza
Oct 26, 2023 23:02Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amelalamikia siasa za utolewaji misaada ya kibinadamu huko Ghaza na kushindwa Baraza la Usalama kupitisha azimio kuhusiana na matukio ya eneo hilo.
-
Ansarullah: Adui Mzayuni anafanya jinai mbele ya macho ya walimwengu
Oct 26, 2023 23:02Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen akizungumzia mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina amesisitiza kuwa, adui Mzayuni anafanya jinai mbele ya macho ya walimwengu.
-
Pyongyang: Israel imefanya jinai ya kivita kwa kushambulia hospitali Gaza
Oct 26, 2023 23:00Korea Kaskazini imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Hospitali ya Al Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 17 na kuua mamia ya wananchi wa Paalestina.
-
Idadi ya Wapalestina waliouawa Gaza yapindukia 7000
Oct 26, 2023 09:41Ofisi ya Habari ya serikali huko Gaza Palestina imetangaza kuwa, idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu utawala haramu wa Israel ulipoanza kufanya mashambulio ya anga katika Ukanda wa Gaza imepindukia 7000 huku makumi ya maelfu ya wengine wakiwa wamejeruhiwa au kutoweka.
-
Brigedi za Qassam zatungua helikopta ya Israel Ukanda wa Gaza
Oct 26, 2023 08:53Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza habari ya kufanikiwa kutungua helikopta ya utawala haramu wa Israel, ikiwa ni kuendelea kujibu jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Erdogan: HAMAS si kundi la magaidi, bali wapigania ukombozi
Oct 26, 2023 08:53Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amefuta safari yake ya kuzitembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel na kusisitiza kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS si kundi la magaidi, bali ni kundi la wapigania ukombozi.
-
Kiongozi wa HAMAS apongeza msimamo wa Russia na China wa kupigia veto azimio la Marekani
Oct 26, 2023 03:31Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo ulioonyeshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na hatua hayo ya kulipigia kura ya turufu azimio lililopendekezwa na Marekani la kuuunga mkono utawala vamizi wa Kizayuni unaokalia ardhi kwa mabavu.
-
WFP yaonya kuhusu tishio kwa maisha ya watu wa Gaza
Oct 25, 2023 11:41Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limeonya kuhusu tishio linalokabili maisha ya watu wa Gaza.