-
Mafaili mapya ya Epstein yafichua namna Trump alivyombaka binti wa miaka 13
Jan 31, 2026 09:24Wizara ya Sheria ya Marekani imetoa mamilioni ya nyaraka mpya zinazohusiana na kesi ya Jeffrey Epstein, mtendajinai aliyepatikana na hatia ya makosa ya kingono dhidi ya watoto, kabla ya kuondoa baadhi ya kurasa zilizokuwa na malalamiko yaliyomtaja Rais Donald Trump.
-
Amnesty International: Serikali ya Marekani inakandamiza vyombo vya habari na kuvizuia kueleza ukweli
Jan 31, 2026 03:40Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, serikali ya Marekani inakandamiza vyombo vya habari na kuvizuia kueleza ukweli.
-
Ushirikiano wa Starmer na Trump; madai mapya dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran
Jan 31, 2026 00:04Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.
-
Mgogoro mkali wa kidiplomasia.. Afrika Kusini na Israel zawatimua wanadiplomasia
Jan 31, 2026 00:01Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Israel na Afrika Kusini uliingia katika mgogoro mkubwa na usio wa kawaida jana Ijumaa, baada ya pande zote mbili kutangaza maafisa wa kidiplomasia wa kila upande kuwa watu wasiofaa na kuwaamuru waondoke ndani ya saa 72.
-
Kucheza na moto kwa Trump kunaweza kusababisha mzozo kamili kanda ya Asia Magharibi
Jan 30, 2026 08:30Iran imetangaza kwamba kauli za "kuchochea vita" za Donald Trump zinazidisha mvutano wa kikanda.
-
Serikali ya Trump yalaaniwa kwa ukatili wa kumnyima mzazi Muislamu fursa ya kumzika mwanawe
Jan 30, 2026 04:15Uamuzi wa shirika la Uhamiaji na Forodha la Marekani (ICE) wa kukataa kutoa ruhusa ya muda ya sababu za kibinadamu kwa mzazi aliyeko kizuizini kuhudhuria mazishi ya mwanawe kimelaaniwa vikali na watumiaji wa mitandao ya kijamii huku baadhi yao wakiuelezea uamuzi huo kuwa ni "mchafu na wa kinyama".
-
Guterres ataja vipaumbele vyake katika mwaka wake wa mwisho kama Katibu Mkuu wa UN
Jan 29, 2026 23:42Katika wakati ambapo mivutano ya kimataifa inaongezeka huku hatua zisizo na tahadhari zikisababisha madhara hatari, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa wito wa kuimarishwa juhudi za amani, haki na maendeleo endelevu.
-
China yaitahadharisha Marekani kuhusu vita dhidi ya Iran
Jan 29, 2026 09:16China imetahadharisha kwamba hatua hatari za kijeshi zinazoongozwa na Marekani dhidi ya Iran zinaweza kuyumbisha eneo la magharibi mwa Asia na kuisukuma kanda hiyo kwenye matokeo yasiyotabirika.
-
Sababu zilizomfanya Katibu Mkuu wa UN akiri kuwa 'Sheria ya Msituni' ndiyo inayotawala hivi sasa duniani
Jan 29, 2026 03:30Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekiri kuwa sheria ya msituni ndiyo inayotawala hivi sasa duniani na kusisitiza kwamba kuna udharura wa kufanyika mageuzi katika Baraza la Usalama la umoja huo.
-
Waislamu Canada wataka kukomeshwa chuki dhidi ya Uislamu
Jan 29, 2026 03:06Viongozi wa Waislamu nchini Canada wametoa wito wa kukomeshwa kwa matamshi ya chuki na uenezaji wa hofu dhidi ya Uislamu na Waislamu, huku nchi hiyo ikijiandaa kuadhimisha miaka tisa tangu kutokea shambulio baya dhidi ya msikiti katika mkoa wa Quebec.