-
Ulimwengu wa Michezo
Dec 11, 2025 05:34Karibuni mashabiki na wapenzi wa michezo popote pale mlipo katika kipindi chenu hiki cha Ulimwengu wa Michezo kutoka Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran. Leo kapu letu la habari za michezo limesheheni habari kemkem kama ilivyo ada na desturi yake. Mimi ni Ahmed Rashid, karibuni.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 20
Oct 20, 2025 03:32Hujambo msikilizaji mpenzi, nina wingi wa matumaini kwamba u mzima wa afya. Karibu tuangazie japo kwa ufupi, baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri viwanjani katika muda wa siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa. Nakusihi usibanduke hapo ulipo hadi tamati ya kipindi….
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 13
Oct 13, 2025 08:21Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio yaliyotifua mavumbi viwanjani ndani ya siku zilizopita duniani, kuanzia hapa Iran hadi barani Afrika.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 6
Oct 06, 2025 07:43Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 29
Sep 29, 2025 05:27Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 22
Sep 22, 2025 08:39Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 31
Aug 31, 2025 05:38Natumai u bukheri wa afya hapo ulipo msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Spoti, Agosti 25
Aug 25, 2025 03:45Natumai u bukheri wa afya hapo ulipo msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Spoti, Agosti 18
Aug 18, 2025 06:08Natumai u mzima msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Spoti, Juni 2
Jun 02, 2025 03:31Hujamo mskilizaji mpenzi, natumai u bukheri wa afya. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu yayojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa…..nakusihi tuwe sote hadi tamati…karibu…..