-
Makundi ya Muqawama Palestina yauonya utawala wa Kizayuni wa Israel
May 04, 2021 21:48Makundi ya muqawama na kupigania ukombozi wa Palestina yametoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kuchukua hatua zozote za kuwakandamiza vijana Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
-
Israel imebomoa makumi ya majengo ya Wapalestina mjini Quds
May 03, 2021 21:03Shirika huru la kutetea haki za binadamu limesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa majengo 58 ya Wapalestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa.
-
Palestina yataka dunia iishinikize Israel iruhusu uchaguzi Quds
Apr 28, 2021 21:58Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameiasa jamii ya kimataifa iushinikize zaidi utawala wa Kizayuni wa Israel ili ukubali kufanyika uchaguzi wa Bunge la Palestina katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Iran yalaani hujuma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Quds tukufu
Apr 25, 2021 01:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali uvamizi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Mufti wa Quds ataka kuchukuliwa hatua za kukabiliana na hujuma dhidi ya Masjdul-Aqswa
Apr 15, 2021 03:49Mufti wa Quds na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewataka viongozi wa mataifa ya Kiarabu, ya Kiislamu na wananchi wa mataifa hayo kuchukua hatua za haraka za kusitisha hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa.
-
Wapalestina wakasirishwa na kitendo chha Wazayuni cha kuzuia adhana kwa kutumia vipaza sauti
Apr 14, 2021 06:59Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukata nyaya za vipaza sauti katika Msikiti wa al-Aqswa na kuzuia kuadhiniwa kwa kutumia vipaza sauti.
-
Waislamu wahamakishwa na hatua ya Kosovo kufungua ubalozi Quds
Mar 15, 2021 07:20Waislamu wameghadhabishwa mno na kitendo cha Kosovo kufungua ubalozi wa nchi hiyo ndogo ya Ulaya katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Wanajeshi wa Israel wamkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa
Mar 10, 2021 08:55Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Mufti Mkuu wa Misri aonya dhidi ya mpango wa Israel wa kuiyahudisha Quds
Feb 27, 2021 08:37Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
-
Manung'uniko baada ya Equatorial Guinea kusema itahamishia ubalozi wake Quds
Feb 20, 2021 09:12Hatua ya mtawala wa muda mrefu wa Equatorial Guinea kusema kuwa nchi hiyo itauhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel kutoka Tel Aviv imekosolewa vikali ndani ya nje ya nchi.