-
Al Azhar yaonya kuhusu kuendelea Israel kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa
Jul 21, 2017 23:19Chuo Kikuu cha al Azhar cha nchini Miri kimeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai unazozifanya pambizoni mwa Msikiti wa al Aqsa kwani jinai hizo zinawaumiza Waislamu wote duniani.
-
Dahlan: Vitendo vya Israel Masjidul Aqswa ni ugaidi ulio wazi
Jul 20, 2017 03:24Mjumbe wa zamani wa Kamati Kuu ya harakati ya Fat'h ya Palestina amesema kuwa, vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni ugaidi ulio wazi.
-
Kiongozi wa Kikristo Palestina awataka Wakristo na dunia kuzuia uvamizi wa Wazayuni wa Israel
Jul 19, 2017 09:33Kiongozi wa Kikristo wa kanisa la Orthodox huko Palestina Atallah Hanna, ameomba msaada wa haraka kutoka kwa Wakristo na taasisi za kutetea haki za binaadamu duniani, kuzuia uvamizi wa Wazayuni wa Israel huko Quds.
-
UN yataka kukomeshwa mapigano Masjidul Aqsa
Jul 19, 2017 02:45Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukomeshwa mapigano yanayoendelea katika Msikiti mtakatifu wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Harakati za Palestina zaonya kuhusu jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa
Jul 18, 2017 11:13Harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza zimetahadharisha kuhusu jinai mpya zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina waandamana kulaani jinai za Wazayuni katika Masjidul Aqswa
Jul 16, 2017 10:41Kundi la Wapalestina na wawakilishi wa makundi ya Palestina leo Jumapili wamefanya maandamano kulaani jinai za mara kwa mara zinazofanywa na Wazayuni maghasibu dhidi ya Msikiti wa Aqsa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Msikiti wa al-Aqsa, lengo la njama za Israel na uhaini wa utawala wa Aal-Saud
Jul 16, 2017 07:49Katika hali ambayo njama za utawala haramu wa Israel dhidi ya Masjidul-Aqsa zimeshika kasi katika siku za hivi karibuni, habari zinaripoti kuwepo harakati za utawala wa Aal-Saud kwa ajili ya kuiandalia mazingira Israel iweze kuudhibiti kikamilifu msikiti huo.
-
Lebanon yataka mataifa ya ulimwengu yailazimishe Israel iache uvamizi
Jul 15, 2017 08:29Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa wito kwa mataifa ya ulimwengu kuchukua hatua ambazo zinataulazimisha utawala haramu wa Israel ukomeshe hatua zake za kivamizi.
-
Wanajeshi wa Israel wamewaua Wapalestina watatu Quds Tukufu
Jul 14, 2017 03:10Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
-
HAMAS: Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya Palestina
Jul 09, 2017 03:09Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya wananchi wa Palestina na hakuna wakati ambao Tehran ilisitisha himaya na uungaji mkono wake huo.