-
OIC na Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima msikiti wa al-Aqswa
Mar 30, 2023 07:43Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu zimelaani vikali hujuma za walowezi wa Kizayuni dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Askari wa Kizayuni wavamia al-Aqsa na kuwafukuza Waislamu
Mar 27, 2023 11:31Waumini wa Kiislamu wametimuliwa katika Msikiti wa al-Aqsa baada ya Wazayuni wenye misimamo mikali wakiwa wameandamana na askari wa utawala haramu wa Israel kulivamia eneo hilo tukufu la Waislamu.
-
HAMAS: Mapambano dhidi ya Israel yataendelea mpaka Aqsa ikombolewe
Mar 25, 2023 07:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mapambano yao kwa kushirikiana na makundi mengine ya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yataendelea hadi pale Msikiti wa al-Aqsa utakapokombolewa.
-
Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine wavamia msikiti wa al-Aqswa
Mar 09, 2023 02:36Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikkali wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa
Mar 06, 2023 07:34Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Wazayuni wapanga mashambulizi makubwa dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa Pasaka
Feb 23, 2023 02:32Makundi na mashirika ya Kiyahudi yenye misimamo mikali yametoa wito kwa Wazayuni yakiwataka kuushambulia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem) kwa mnasaba wa Pasaka ya Kiyahudi (Passover au Pesach).
-
HAMAS: Njama za Marekani za kuisambaratisha Intifadha zitafeli
Feb 13, 2023 02:35Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu HAMAS amesema njama za Marekani za kutaka kuisambaratisha Intifadha ya Tatu ya Wapalestina dhidi utawala wa Kizayuni wa Israel zitagonga mwamba.
-
Umoja wa Ulaya washindwa kulaani uchochezi wa waziri mwenye itikadi za kibaguzi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa.
Jan 05, 2023 07:59Kitendo cha uchochezi cha waziri mwenye itikadi kali na za kibaguzi wa baraza la mawaziri la utawala haramu wa Israel katika kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa hakijakabiliwa na hatua yoyote ya maana kutoka kwa Umoja wa Ulaya.
-
HAMAS: Viongozi wa nchi za Kiislamu amkeni kukiokoa Kibla cha Kwanza
Jan 05, 2023 03:22Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatahadharisha viongozi wa nchi za Kiislamu kuhusuu njama za kila namna za serikali mpya ya kifashisti ya Israel na kuwataka waamke kukiokoa Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 04, 2023 07:33Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali hatua ya waziri Mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu ada kuvamia msikiti wa mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.