Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ruwaza Njema

  • Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu

    Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu

    Dec 04, 2017 13:32

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.

  • Kipindi maalumu cha Milaad an-Nabi SAW

    Kipindi maalumu cha Milaad an-Nabi SAW

    Dec 04, 2017 08:33

    Hizi ni siku za kusherehekea uzawa wa Bwana Mtume Muhammad al-Mustafa (saw). Huku tukikupeni mkono wa pongezi, fanaka na heri kwa mnasaba wa kuwadia siku hizi adhimu na za furaha kubwa, tunakuombeni mujiunge nasi ili tupate kusikiliza kwa pamoja kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba huu, karibuni.

  • Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 04, 2017 06:23

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambacho maudhui yake inasema: "Aal Saud, mzusha mifarakano na kizuizi cha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu". Endeleeni basi kunitegea sikio kuanzia awali hadi tamati ya kipindi hiki.

  • Ijumaa tarehe Mosi Disemba, 2017

    Ijumaa tarehe Mosi Disemba, 2017

    Dec 02, 2017 05:40

    Leo ni Ijumaa tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na Disemba Mosi, 2017.

  • Kongamano la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Kongamano la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 01, 2017 12:03

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema, kongamano la kila mwaka la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Mkutano wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran na kushirikisha nchi 70

    Mkutano wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran na kushirikisha nchi 70

    Nov 28, 2017 13:04

    Mkutano wa 31 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umepangwa kufanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran kwa kuhudhuriwa na wageni 250 kutoka nchi 70 duniani.

  • Sheikh wa al Azhar aalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, Tehran

    Sheikh wa al Azhar aalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, Tehran

    Nov 27, 2017 04:41

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amemwalika rasmi Sheikh wa al Azhar nchini Misri kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaoanza tarehe 4 mwezi ujao wa Disemba hapa mjini Tehran.

  • Ayatullah Larijani: Kulindwa umoja ni jukumu la kidini na kiakili la Waislamu

    Ayatullah Larijani: Kulindwa umoja ni jukumu la kidini na kiakili la Waislamu

    Dec 12, 2016 10:24

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesisitiza juu ya kufanyika juhudi kadiri inavyowezekana kwa ajili ya kulinda umoja na mshikamano baina ya Waislamu na kusimama kidete mbele ya mabeberu.

  • 9 Rabiul Awwal, Siku ya Kuanza Uongozi wa Imam wa Zama

    9 Rabiul Awwal, Siku ya Kuanza Uongozi wa Imam wa Zama

    Dec 08, 2016 13:13

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nami katika Makala ya Wiki hii ambayo itazungumzia siku ya kuanza uongozi wa Imam wa Zama, Imam Mahdi (as) Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake.

  • Jumanne 20 Septemba 2016

    Jumanne 20 Septemba 2016

    Sep 20, 2016 01:41

    Leo ni Jumanne 18 Dhulhija 1437 Hijria sawa na tarehe 20 Septemba 2016.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Mahakama ya Tanzania: Tundu Lissu ana kesi ya kujibu ya uhaini

    Mahakama ya Tanzania: Tundu Lissu ana kesi ya kujibu ya uhaini

    5 hours ago
  • Iran: Vikwazo vipya vya Marekani ni ‘ugaidi wa kiuchumi’ na ‘uhalifu dhidi ya ubinadamu’

  • Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Qur’ani yahimiza mshikamano wa Umma wa Kiislamu

  • Matumaini baada ya DRC kupokea dozi 70,000 za chanjo ya Ebola

  • Wapalestina ‘wanakabiliwa na baa la njaa’ huku walowezi wa Kizayuni wakiendeleza mzingiro katika mji wa Qusra

Chaguo La Mhariri
  • Namna shambulio la kijeshi dhidi ya Iran lilivyoikatisha tamaa Ulaya

    Namna shambulio la kijeshi dhidi ya Iran lilivyoikatisha tamaa Ulaya

    1 day ago
  • Maombolezo ya Imam Askari (AS) Hadi Mapambazuko ya Matumaini

    Maombolezo ya Imam Askari (AS) Hadi Mapambazuko ya Matumaini

    1 day ago
  • Vita dhidi ya Iran na Mgogoro katika Akiba ya Kimkakati ya Mafuta ya Marekani

    Vita dhidi ya Iran na Mgogoro katika Akiba ya Kimkakati ya Mafuta ya Marekani

    1 day ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • IRGC: Vikizuka vita vipya, Iran itatumia silaha zinazosababisha uharibifu mkubwa zaidi

  • Namna shambulio la kijeshi dhidi ya Iran lilivyoikatisha tamaa Ulaya

  • Ripoti: Vita vikishtadi, yamkini Iran ikavishambulia vituo vya Marekani barani Ulaya

  • Mearsheimer: Marekani haina budi isipokuwa kukubali matakwa ya Iran

  • Spika Qalibaf: Muqawama wa Iraq ni chanzo kikuu cha nguvu kwa Iran na Iraq

  • Araghchi: “Ugaidi wa kiuchumi” wa Trump dhidi ya Iran ni mbinu ya kupotosha umma kuhusu matatizo ya uchumi wa Marekani

  • Vita dhidi ya Iran na Mgogoro katika Akiba ya Kimkakati ya Mafuta ya Marekani

  • Upinzani Kenya wamtaka Mwendesha Mashtaka wa ICC achukue hatua dhidi ya Rais Ruto

  • Vita vya Sudan: Wapiganaji 318 wa RSF wajiunga na jeshi

  • Iran: Vikwazo vipya vya Marekani ni ‘ugaidi wa kiuchumi’ na ‘uhalifu dhidi ya ubinadamu’

  • ICC yalaani na kupinga vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya maafisa wake

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS