-
Spika wa Bunge la Iran awapongeza maspika wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 24, 2021 08:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewatumia ujumbe maspika wenzake katika nchi za Kiislamu akiwapa mkono wa kheri na baraka kwa mnasaba wa maadhimisho na sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad (saw).
-
Iran yaadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw)
Oct 24, 2021 03:26Leo tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiu Awwal 1443 Hijria inasadifiana na siku aliyozaliwa Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad bin Abdullah (saw) na mjukuu wake mwema, Imam Ja'far al Swadiq (as).
-
Kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW
Oct 23, 2021 12:31Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtukufu Mtume Muhammad SAW.
-
Jumanne tarehe 19 Oktoba 2021
Oct 19, 2021 08:14Leo ni Jumanne tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1443 Hijria sawa na Oktoba 19 mwaka 2021.
-
Jumanne tarehe 5 Oktoba 2021
Oct 05, 2021 02:18Leo ni Jumanne tarehe 28 Safar 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 5 Oktoba 2021.
-
Alkhamisi tarehe 16 Septemba 2021
Sep 16, 2021 02:22Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Safar 1443 Hijria sawa na Septemba 16 mwaka 2021.
-
Jumatatu tarehe 13 Septemba 2021
Sep 13, 2021 02:26Leo ni Jumatatu tarehe 6 Safar 1443 Hujria sawa na Septemba 13 mwaka 2021.
-
Alkhamisi tarehe 29 Julai 2021
Jul 29, 2021 02:19Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhija 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 29 Julai 2021.
-
Kifo cha Bibi Khadija (as), mke mwema na kipenzi cha Mtume Muhammad (saw)
Apr 24, 2021 09:37Siku hiyo maradhi yalimzidia Bibi Khadija binti Khuwailid. Alikuwa akitafakari kuhusu njia ndefu iliyokuwa mbele yake.
-
Jumatano tarehe 10 Machi mwaka 2021
Mar 10, 2021 02:18Leo ni Jumatano tarehe 26 Rajab 1442 Hijria sawa na tarehe 10 Machi mwaka 2021.