SAUTI: Uteuzi wa Waziri Mkuu mpya DRC wapokewa kwa hisia tofauti.
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i27496-sauti_uteuzi_wa_waziri_mkuu_mpya_drc_wapokewa_kwa_hisia_tofauti.
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua Bruno Chibala kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Samy Badubanga aliyejiuzulu siku ya Ijumaa. Hatua hiyo imepokewa kwa hisia tofauti nchini humo. Mwandishi wa Radio Tehran, Mosi Mwasi na taarifa zaidi
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Apr 09, 2017 01:51 UTC