SAUTI: Viongozi wa kidini Kenya wasema, wanasiasa wakishindwa watachukua wao madaraka
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i27498-sauti_viongozi_wa_kidini_kenya_wasema_wanasiasa_wakishindwa_watachukua_wao_madaraka
Viongozi wa kidini nchini Kenya wamewataka wanasiasa kuacha kupiga vuvuzela la vitisho na uchochezi wa kikabila na badala yake wazingatia sera za kuunganisha taifa na kupunguza gharama za maisha ya Wakenya. Ujumbe huo umetolewa huku Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka huu. Mwandishi wa Radio Tehran Seifullah Murtadha na ripoti kamili
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Apr 09, 2017 01:57 UTC